Dr.Slaa: Msemaji wa Wakatoliki feki aliwahi kucheza deal na Waziri Mkuu wa sasa

Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema.

Dr. Slaa amesema kilichofanyika ni uhuni na kuna watu wakubwa wapo nyuma yao. Amesema haamini kama huo ukumbi ni wa Ubalozi kwa sababu hauna hata picha za kanisa wala alama yeyote ya kanisa. Wahuni hao hao wala hawakuanza na sala wala hawakusimamiwa na watumishi wa ubalozi.
Silaa ni kiwango Cha kimataifa
 
Dr Slaa kabakisha Nguvu za kusukuma Mavi tuu hayo maneno kayasema wapi?
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema.

Dr. Slaa amesema kilichofanyika ni uhuni na kuna watu wakubwa wapo nyuma yao. Amesema haamini kama huo ukumbi ni wa Ubalozi kwa sababu hauna hata picha za kanisa wala alama yeyote ya kanisa. Wahuni hao hao wala hawakuanza na sala wala hawakusimamiwa na watumishi wa ubalozi.
Huyu si aliwashutumu chadema kutekana,akacheza dili na magu!?
 
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema.

Dr. Slaa amesema kilichofanyika ni uhuni na kuna watu wakubwa wapo nyuma yao. Amesema haamini kama huo ukumbi ni wa Ubalozi kwa sababu hauna hata picha za kanisa wala alama yeyote ya kanisa. Wahuni hao hao wala hawakuanza na sala wala hawakusimamiwa na watumishi wa ubalozi.
Hakuna kilichofichika ambacho hakitafichuliwa😂😂😂
 
Dr. Slaa kinachomsumbua ni Muislam kuwa kiongozi wa Nchi. Mama wa Kiislam bado ana miaka mingine mitano ya Halal

Slaa atulie tu na Wagalatia wenzie waendelee kunyolewa
 
Badala ya kurusha mashambulizi hoja zijibiwe:
1. Je, huyo mkatoliki feki hajawahi isingizia CHADEMA ugaidi?
2. Je, hakucheza dili na Madelu Mkumbo?
3. Je, walianza na sala pale the so called ubalozini?
4. Je, kuna pichapicha kuashiria ni RC/Vat. Embassy kweli?
Vinginevyo mzee atakuwa ameshika nyonyo za mtu mzito na makupe yameanza kulala kwa hofu ya kukatiwa maziwa.
 
Back
Top Bottom