Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Huyu Kizee ni mdiniAkizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema.
Dr. Slaa amesema kilichofanyika ni uhuni na kuna watu wakubwa wapo nyuma yao. Amesema haamini kama huo ukumbi ni wa Ubalozi kwa sababu hauna hata picha za kanisa wala alama yeyote ya kanisa. Wahuni hao hao wala hawakuanza na sala wala hawakusimamiwa na watumishi wa ubalozi.
Wewe ni mpumbavu sana ukishashiba mchemsho wa nguruwe unajiropokea tuHuyu Kizee ni mdini
Thibitisha ili tujue wewe una AKILI TIMAMU na umeelewa kilichoandikwa hapoHuyu Kizee ni mdini
Kizee mdini sana huyu, akiona Rais dini tofauti na yeye lazima alete chokochoko zakeThibitisha ili tujue wewe una AKILI TIMAMU na umeelewa kilichoandikwa hapo
Kwa sababu huwa unamshikia boxer yake!?Dr Slaa kabakisha Nguvu za kusukuma Mavi tuu hayo maneno kayasema wapi?
Umeshindwa kutofautisha ukosoaji wa udhaifu wa muhimili na uhusika wa imani ya mtu mmojammoja?Hapo amemtaja "mroma" feki na Mwigulu mkristo.Sasa Rais muislam amefikaje hapo?Unaweza mijadala ya kutumia akili njema kweli?Kizee mdini sana huyu, akiona Rais dini tofauti na yeye lazima alete chokochoko zake
Bora Ya Yeye Anayo Nguvu Ya kusukuma Mavi Kutoka...Dr Slaa kabakisha Nguvu za kusukuma Mavi tuu hayo maneno kayasema wapi?
Dr Slaa kabakisha Nguvu za kusukuma Mavi tuu hayo maneno kayasema wapi?
sasa wewe una tofauti gani na SAMIA anayesema watu wanamuhoji kuhusu mauji kwasababu ya udini wake na ukike wake?Kizee mdini sana huyu, akiona Rais dini tofauti na yeye lazima alete chokochoko zake
Wassira amabakiwa na nn?Dr Slaa kabakisha Nguvu za kusukuma Mavi tuu hayo maneno kayasema wapi?
Wapuuzi wengi huwa hawana uwezo wa kuamini mambo kutokana na kuwa na uwezo mdogo sana wa kutafsiri mambo.Mwisho wakiumia huamua kulaumu wengine.Inaitaji punguani na kichaa wa kutembea uchi ili uamini upuuzi huu
Hivi kumbe kuna matusi?Sisi makuli tunashindwa kuchambua na kutenganisha maneno.Yote kapu moja tu.Acheni matusi wakuu! Toeni hoja kupinga maelezo ya Dr Slaa.
Matusi na uchawi ndio nguzo kuu ya masikiniDr Slaa kabakisha Nguvu za kusukuma Mavi tuu hayo maneno kayasema wapi?