Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)


Kaka usilaumu UDSM peke yake, mfumo wetu wa elimu ni wa hovyo sana, ukimkuta mtu upstair kichwani jua either ni juhudi zake binafsi au kazaliwa hivyo otherwise chuo hakina nafasi ya kutuandaa kifikra. Watu wengi wanafaulu sijui 1st class lakini rational reasoning ni zero. Vyuo vetu vinatufundisha kukariri na siyo kuelewa. Mimi nikimsikiliza Nchemba kama kielelezo cha vijana wenye akili na zao la chuo kikongwe kama UDSM naisikitikia sana elimu yetu.
 
UDSM ni chuo bora lakini Mwigulu ni tunda Bovu si lazima chuo bora kutoa tunda zuri kutokana na utashi binafsi wa kitaaluma na mwamko wa hisia na tamaa za huyu jamaa atakuwaje bora???!!!!
 
Sitaji kujiingiza kwenye marumbano ya Dr.Slaa na Mwigulu Nchemba lakini hoja yako hii inagota palepale kwenye point aliyokuwa anaisema Dr.Slaa kuhusu somo la LOGIC.

Kabla ya kuleta bandiko lako ulitakiwa kwanza ukipambanue ki-logic hicho alichokisema Mwigulu Nchemba na kukiona kama ni ukweli au siyo ukweli.

Kama alichokisema Mwigulu ni kweli basi hoja ya Dr. Slaa inakuwa ni worthless kuijengea hoja, lakini kama siyo kweli, basi ndipo ungekuja na hoja ya maneno ya Dr.Slaa kutaka yachambuliwe na wanaJF.

So far, kwa kuleta hoja inaonekana unakubaliana na hoja ya Dr. Slaa kwa yale aliyoyasema Mwigulu Nchemba na kwa maana hiyo yatakuwa yamechangiwa na elimu aliyoipata pale UDSM.

Sasa sijui unataka tujadili nini wakati kile alichokisema Dr. Slaa unakubaliana nacho.

Kwani hufahamu kuwa Mwigulu aliongeza elimu na maalifa zaidi pale UDSM na kutunukiwa cheti baada ya kufaulu. Huoni kuwa hoja zake anazijenga kutokana na kupata elimu na maalifa zaidi hapo UDSM.
 
Huyu mzee ana tatizo kichwani, nadhani anastahili kupata matibabu a Dr Kigwangalla km anavyompatia lissu
 
Udsm ni chuo namba 6 kwa ubora barani afrika

Unajua category wanazotumi ku rank vyuo duniani? Au unatoa mapovu tu? Unajua kairuki ndo chuo pekee cha Tanzania kuingia vyuo 100 bora Tanzania ukiacha hicho cha UDSM? Usikurupuke kujenga hoja kwa kitu usichojua.
 
Hawa watu wanadharau kila kitu, mwisho watajidharau wenyewe

Wamedharau jeshi la polisi

Wamedharau Jeshi la wananchi

Wamedharau watendaji wote serikalini, hii ikiwa na maana hata walimu

Na sasa wanadharau vyuo vyetu

umesahau kujitaja na wewe
 

Mkuu hajui matumizi ya Concession-English nadhani somo la kiiengereza hasa kile technical kilimpiga chenga....namkumbuka na Dr. kitila kauli yake Dodoma kwenye kongamano la Elimu alisisitiza ktk dunia ya leo kujitahidi ujue kiiengereza. Sasa usikute akawa ni mwigulu huyo , mwampamba au Ushuzi kiburudisho cha savimbi.....ajitahidi ajue matumzi ya haya maneno..."unless, if not, although, nevertheless, though, until, since,even so, yet, but, all the same, nonetheless, on the other hand, bar , save for" n.k
 
Fahari ya chuo chochote kikuu duniani ni watu mahiri maarufu iliowatengeneza na aibu ya chuo kikuu chochote ni watu dhaifu maarufu iliowatengeneza pia.

Je, UDSM wanaweza kujivunia au kuabika kutokana na umaarufu wa Mwigulu Nchemba?
 
Mleta uzi umesoma logic? If yes wapi.?
 
NDUGU YANGU KAMA ELIMU UNAYOPATA HAIKUPI MWAMKO WA KUJITEGEMEA BASI HIYO SIO ELIMU.
nimesoma nje post graduate mafunzo unayopata ni ya kujitegemea na sio kusubiri kuajiriwa.
watanzania wangapi wako mitaani hivi leo wakisubiri ajira badala ya kujiajiri?
ni watanzania wangapi wa UDSM wanakataliwa katika soko la ajira kwa vile hawakubaliki ktk soko la ajira?
pale UDSM kuna la zaidi ya kukariri kwa vile wananfunzi wanaogopa SUP?/
tena walimu wa pale wakiwafelisha wanajisifu sana badala ya kuwa ashamed kwanini mwanafunzi kafeli..
wengi wanasoma kwa tensio ya kufaulu na sio kuelewa.

UDSM ni chuo kinachotoa taaluma na huduma za jamii. Hakitoi mafunzo ya ajira..!!
 

ww ndio ulikuwa kilaza na ulikuwa mtu wa kudesa. Akili nzito. Taja graduate watatu wa UDSM waliomaliza miaka mitatu iliyopita ambao hadi leo hawana ajira. Acha ujinga wa reja reja. Slaa ni mzigo na ww pia ni kifurushi
 
Naona buku 7 FC wameanza mambo hayo, kweli hoja zimeisha wakuu.
 
Unajua category wanazotumi ku rank vyuo duniani? Au unatoa mapovu tu? Unajua kairuki ndo chuo pekee cha Tanzania kuingia vyuo 100 bora Tanzania ukiacha hicho cha UDSM? Usikurupuke kujenga hoja kwa kitu usichojua.

Hivi na chuo cha matap tap kinachozalisha makanjanja udom ni cha ngapi.... ni chuo changu jamani lakini nisivyokipenda kile chuo...ukisoma Udom unamaliza ukiwa huipendi Tz...wenye wadogo msithubutu waje pale....Baibui kwa madada siku hizi ni lazima....Mwanafunzi mwenzako ambaye ni Ccm pale ni ruksa kukutisha atakufukuza chuo....kile chuo ni majanga ni moja kati ya taasisi zinazoichafua nchi kwa maana zote.
 
Kwani wewe huoni kuwa huyo nchemba ndio mwenye kukidhalilisha chuo. First class awe zuzu kama huyu lazima watu wahoji aliipataje.
 
Taja graduate watano wa mlimani ambao wamekataliwa ktk soko la ajira, taja sita amao wamekariri badala ya kuelewa.
ww unataka tujue kuwa umesoma nje huna lolote. Hako kadiploma cha kupewa badala ya kusomea ndio unaturingishia hapa??????????????? Jinga
 

Kama kweli Mwigulu Nchemba alipata first class UDSM basi chuo kikuu hicho ni cha hovyo kwa vile kinatoa wasomi wa hovyo! Kwanza kinatoa wachumi ambao hawajui kwa nini Tanzania ni nchi maskini licha ya maliasili lukuki zizizopo!
 
Reactions: kui

Kabisa udsm ni madesa tu unaweza usije class week 15 ukaja week ya 16 na 17 kufanya UE tu na ukapiga GPA zaidi ya 4.0 kwa upeo wa mwigulu lazima uwe na wasi wasi na chuo walichompa first class ila kama kasoma udsm sishangai.
 
Hawa watu wanadharau kila kitu, mwisho watajidharau wenyewe

Wamedharau jeshi la polisi

Wamedharau Jeshi la wananchi

Wamedharau watendaji wote serikalini, hii ikiwa na maana hata walimu

Na sasa wanadharau vyuo vyetu


Tatizo lenu mnapenda unafiki kama nini sijui,kwani wewe haujui kuwa chuo kikuu cha dar es salaam hakizalishi wanafunzi bora?embu mchukue mwanafunzi aliyemaliza UDSM kamfananishe na mwanafunzi aliyemaliza St Augustine ua Tumaini uone uwezo wao wakuelewa na kunyambua mambo ukoje then utakuwa na jibu.
 
Huyo mzede si kasoma kanuni za kanisa tu, na hata hizo zikamshinda. Anakijuwa nini huyo zaidi ya majungu na ufataani na kuitakia mabaya Tanzania.

Dogo nikuletee kiti moto? Au ramadan hii umepunguza kubugia hiyo kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…