Dogo Tundu
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 448
- 189
Ukweli uko wazi
nimesoma UDSM
kile chuo wengi wanafaulu kwa kudesa na kubebwa
ndio maana wengi hawauziki katika solo la ajira.
hatujapikwa vema katika kujitegemea au kukubalika katika solo la ajira
Ndio maan first class ya Mwigulu haina tofauti na gentleman pass ya mtu yoyote.
Kaka usilaumu UDSM peke yake, mfumo wetu wa elimu ni wa hovyo sana, ukimkuta mtu upstair kichwani jua either ni juhudi zake binafsi au kazaliwa hivyo otherwise chuo hakina nafasi ya kutuandaa kifikra. Watu wengi wanafaulu sijui 1st class lakini rational reasoning ni zero. Vyuo vetu vinatufundisha kukariri na siyo kuelewa. Mimi nikimsikiliza Nchemba kama kielelezo cha vijana wenye akili na zao la chuo kikongwe kama UDSM naisikitikia sana elimu yetu.