Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

Huyu kilaza anaejiita dikta sijui kaipata wapi huo u dokta wake na kwa fani gani maana angekua kasoma udsm asingekua na akili ya kihovyo kama aliokua nayo we babu kaa nyumbani tuu tuache na udsm yetu ilotupa mwanga mpaka leo nikaheahimila mbele za watu huyu padre mchukua wake zavwatu hivi kweli anaweza kusimama na issa shivji ama akina marhem othman hivi lissu na safati wamesoma wapi
 
Tatizo sio Chuo alichosomea Mh. Mwigulu, bali njaa zake ndio zinazomfanya afanye chochote kwa ajli ya kuwafurahisha wanaomlipa na waendelee kufungua pochi zao. Anafanya akiwa anafahamu kuwa anapotosha. Anatafuta mtaji. Mwigulu asitumie muda mwingi wa viongozi wa CDM kujadili hoja zake, badala yake Chama kisonge mbele katika kuweka mikakati ya kuindoa serikali ya ccm madarakani mwaka 2015.
 
Huyu babu nilishasema kuwa ni tatizo.,amekuwa akitoa kauli za dharau, kebehi na matusi kwa viongozi wa serikali na chama tawala. Kwake yeye kila kitu hapa nchini hakifai, huyu ni mbeba ajenda za mataifa ya magharibi na analipwa kwa kazi hiyo.
 
First class ya uchumi, alafu hana uwezo wa kupambanunua mambo. Maswali yaliyo kua yana muhitaji kuyatatua kwa kutumia Logic aliyamudu vipi kama hakubebwa bebwa hapo?... Indicator mbaya kwa chuo husika
 
Sasa una maanisha chuo ndiyo tatizo au mtu?

"To know the enemy is half the victory"
 

Na wewe nawe na unamtukana Dr Slaa?Mtu mwenyewe hata kuunganisha sentensi unashindwa!!??Bila shaka ulisoma shule za kata.Ila sitashangaa kama utakuwa na cheo kikubwa ndani ya CCM au Serikali,Rudi darasani ukajifunze jinsi ya kuandika insha upya.Hueleweki
 
ww ndio ulikuwa kilaza na ulikuwa mtu wa kudesa. Akili nzito. Taja graduate watatu wa UDSM waliomaliza miaka mitatu iliyopita ambao hadi leo hawana ajira. Acha ujinga wa reja reja. Slaa ni mzigo na ww pia ni kifurushi

nina mashaka na uwezo wako wa kufikiria,unataka kusema walioitimu UDSM,wote wana ajira?,ndugu kubali tu elimu yetu apa UDSM ni ya kukariri tu,haiwajengi vijana kukubalika kwenye soko la ajira,
kuna zaid ya maelfu ya vijana waliohitimu udsm wapo mitaani wanalandalandana,bila kujua watafanya nini.
 
Hawa watu wanadharau kila kitu, mwisho watajidharau wenyewe

Wamedharau jeshi la polisi

Wamedharau Jeshi la wananchi

Wamedharau watendaji wote serikalini, hii ikiwa na maana hata walimu

Na sasa wanadharau vyuo vyetu

hata wewe huna logic, tunakudharau
 

Mbona kama una ka wivu vile, walikupiga chini nini?
 
Mwigulu Nchemba hakupata first class..kuna tofauti kubwa kati ya Mchumi daraja la kwanza kwa ranks za BoT na hiyo first class inayodhaniwa...
 
Dr. Slaa ni mla kondoo wa watu wengine. Dhambi ili mzidi akakimbia upadre. Na dhambi hiyo itaendelea kumtafuna polepole hadi mwisho.

Hii haiondoi ukweli kwamba Mwigulu mara nyingi ni illogical na kwamba anakidhalilisha CKD kama mhitimu wa pale.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Logic inajengwa na ufahamu/ knowledge or understanding of issues. The more you learn and get to know things the more logical you become. Unaweza ukajifunza logic kama una matatizo ya kuchanganya mambo. logic pia ina levels, Huwezi ukategemea mtu mwenye elimu kama mwigulu akawa na mpangilio wa hoja usio na logic inayoendana na elimu yake, yaani hana tofauti na wasio na elimu na ufahamu kama wake. Kama hukujaliwa kupangilia hoja waweza pia ukasomea ili kuboresha kiwango chako cha logic. Ndio maana viongozi wetu wanaandikiwa hotuba
 
Dogo unaangaika sana,watanzania wa sasa hawahitaji propaganda ili wabadili mawazo yao.Hilo ililoandika ni sehemu ya uelewa wako.
 



mkuu kama kweli unalosema ulisoma udsm basi na wewe pi ulisoma kwa kudesa
generalization uliyoitoa iko biased sana.
 
Wewe Asenga hukumwelewa'dr slaa',na kama ulimwelewa basi UMETUMWA..wanachuo tulimwelewa na pengine ushauri kwa mwijuru mchembe....afanye uchumi bt not siasa ni BOMU KWAKE.
 
Asenga hajui matumiz ya 'unless' aibu!
 
Kwanza Mwiguli alipokuwa Mlimani alikuwa kibaraka wa CCM, ana haki ya kupata FAKE FIRST CLASS, sasa hapo kuna elimu gani? ni ushamba tu. Docktor ana haki ya kusema hivyo na namuunga mkono 100%
 




Hii logic neno la kiswahili course ya reasoning inayofahamika kama PL pale udsm nadhan hii ni individual case kwan ndani ya chama changu CDM hakuna walosoma udsm? nao wanafanana na mwigulu? tena mtu kama zitto mbona kasoma economics kama mwigulu lkn yuko vizuri kwny reasoning je hapa tatizo ni chuo au mtu binafsi na kama jukwaa hili ndo ma great thinker nina kila sababu za kujitoa mana thinking capacity yang ni kubwa mno niwaache mfanye mazoezi mkifuzu mtakuja kweny jukwaa lang maana mnaongozwa na emotion na mnaelimu za darasan tu, hv mtu akikufundsha kuandikia mkono wa kulia ukija pata ajali ukakatka huwez kuufunza mkono ulobaki hil nalo unahitaji ufundshwe darasan af unajiita nawe great thinker kaz kweli
 

Na huyo SALMAR naye ana first class kama mwigulu tena ya udsm! Hapo ndiyo utachoka mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…