don-oba
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 1,387
- 677
Udsm ni chuo namba 6 kwa ubora barani afrika
mama yangu! Km ni hivo basi Afrika tumekwisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udsm ni chuo namba 6 kwa ubora barani afrika
Huyu kilaza anaejiita dikta sijui kaipata wapi huo u dokta wake na kwa fani gani maana angekua kasoma udsm asingekua na akili ya kihovyo kama aliokua nayo we babu kaa nyumbani tuu tuache na udsm yetu ilotupa mwanga mpaka leo nikaheahimila mbele za watu huyu padre mchukua wake zavwatu hivi kweli anaweza kusimama na issa shivji ama akina marhem othman hivi lissu na safati wamesoma wapi
ww ndio ulikuwa kilaza na ulikuwa mtu wa kudesa. Akili nzito. Taja graduate watatu wa UDSM waliomaliza miaka mitatu iliyopita ambao hadi leo hawana ajira. Acha ujinga wa reja reja. Slaa ni mzigo na ww pia ni kifurushi
Hawa watu wanadharau kila kitu, mwisho watajidharau wenyewe
Wamedharau jeshi la polisi
Wamedharau Jeshi la wananchi
Wamedharau watendaji wote serikalini, hii ikiwa na maana hata walimu
Na sasa wanadharau vyuo vyetu
Ahsante sana Dr. umesema nilichokuwa nasema..UDSM ni chuo cha hovyo..chuo cha kusomea madesa...mengine hayasomeki kw akutolewa copy za ubora wa chini mara nyingi.Nyingine hata herufu na figure hazisomeki hata mwalimu mwenyewe kwa miaka yote hajapata fahamu za kutengenza maswali yake aliyoyafanyia tafiti.
Lini watajibu kitu walichojifunza haswa na kukielewa, lini wanafunzi watafanya tafiti ktk vitabu na maisha halisi..wenzao vyuo vingine wakitoka wanakuja na mawazo mapya yanayowapa utajiri kabla ya kumaliza.
Haya matakataka ya UDSM hata ktk midahalo ni aibu tupu.Wamejifunza usanii hata ktk majibu..wana jinsi ya kujibu maswali utadhani wanajua wasemacho, unapokuja ktk application ndipo utaona wote kuanzia mwalimu hadi mwanafunzi hajapata concept.
Dr. Slaa ni mla kondoo wa watu wengine. Dhambi ili mzidi akakimbia upadre. Na dhambi hiyo itaendelea kumtafuna polepole hadi mwisho.
Granted, UDSM is a dump, a shadow of what it used to be, if that was much to begin with.
Lakini.
Wazo kwamba logic inafundishwa shule tu nalo ni illogical.
By 19 I was teaching my teachers cosmogony, yet there was no school or class on that subject (at that level, possibly at any level) in Tanzania.
Ukweli uko wazi
nimesoma UDSM
kile chuo wengi wanafaulu kwa kudesa na kubebwa
ndio maana wengi hawauziki katika solo la ajira.
hatujapikwa vema katika kujitegemea au kukubalika katika solo la ajira
Ndio maan first class ya Mwigulu haina tofauti na gentleman pass ya mtu yoyote.
Kweli JF imevamiwa na Vilaza wa CCM, mleta mada hujui hata kusoma na Kuelewa alichokiandika Dr.Slaa.
Embu jaribu kusoma between the lines na kisha tafakari maneno haya kwenye hiyo nukuu ya Dr.Slaa.
''Sina hakika Kama...'' kisha ''Unless mnatuambia....''
*Kifupi ni kwamba Dr.Slaa ana mashaka sana elimu ya Mwigulu anayotambia nayo(First Class Economic!!!) kinyume chake Chuo alichosomea Mwigulu kitakuwa ni kibovu sana, why? Haiwezekani mtu aliyepata elimu ya Chuo kikuu kwa uhalali kila mara akashindwa kuwa na LOGIC kwa kile anachokisema.
Na wewe nawe na unamtukana Dr Slaa?Mtu mwenyewe hata kuunganisha sentensi unashindwa!!??Bila shaka ulisoma shule za kata.Ila sitashangaa kama utakuwa na cheo kikubwa ndani ya CCM au Serikali,Rudi darasani ukajifunze jinsi ya kuandika insha upya.Hueleweki