Ulianza vizuri lakini naona umekujakuchanganya habari katikati; mi nianze hivi kama unataka maamuzi yako yaheshimiwa basi ni wajibu wako kuhakikisha unafanya maamuzi ambayo hayata itilafiana na taratibu zingine na za sehemu nyingine;
Hoja imejikita katika swala lako la ama kujifanya hujui au ni labda kweli hujui na kwa kutaka kuchanganya taratibu za Kidini na za Kiserikali utakuwa hutendei pande hizi mbili haki.
Mosi ni vyema utambue kuwa katika sheria ya ndoa, ndoa natambuliwa kama mkataba baina ya pande mbili tofauti (an agreement (contract) entered voluntarily btn two people of opposite sex the breach of which could lead to legal consequences) kwa hiyo ndoa ni Mkataba unaoweza kuvunjwa ama kuvunjika;
Katika dini nitazungumzia Ukristo ndoa inaamnika kuwa ni muunganiko Mtakatifu (a unification btn two people of opposite sex/gender which is declared and believed to be holy {SACRED}) ambao hakuna mtu anaweza kuuvunja isipokuwa Mungu eg katika kifo na ndiyo maana wanandoa huwa wanapewa kukiri yale maneno "kwa shida na raha, ugonjwa na taabu, sijui umasikini na utajiri mpaka kifo kitakapotutenganisha" na humaliziwa kwa maneno haya alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha."
Sasa basi kwa msingi huo kama hutotaka Uhuru wako uingiliwe ni bora akatafuta pale ambapo unadhani fikra na uamuzi wako hautaitilafiana na taratibu za watu wengine ili ukiwa unaenda Kanisani ujue unakwenda kwa kuwa umekubaliana na taratibu za Kikanisa na unapokwenda kwa DC ama kwingineko ni kwamba umekubaliana na taratibu zao ndo maana kunakuwa na option hizo otherwise huwezi tu kulaumu from nowhere.......
Hivyo ndo ya Mzee yeye mwenyewe anajua ugumu uko wapi na ni vyema akaachiwa yeye mwenyewe hapa tutajadili hewa tu ndo maana yeye mwenyewe ama hana mda au anashindwa namna ya kujibu swala hili........