Dr Slaa na mchumba wake watakiwa kufika mahakamani

Tangulini hawala/kimada apewe jina la Mchumba! Ole wenu wazinzi na washabiki wa Uzinzi! Maana kwa akili zenu mnageuza uovu kwa kutumia maneno ya Uovu kuwa sawa kwa kupotosha watu!
 
Mandela walimfunga jela miaka 27 akaukwaa urais, Nyerere alifunguliwa kesi ya Uchochezi hawakumzuia ikulu, sembuse vijikesi mbuzi vya kumbambikia Dr Slaa visivyo na kichwa wala Mkia?
 
Wenzako huota ndoto zao usiku wanapolala, wewe unaota mchana kweupeeee! Duuuuh!
 
huyu ndio mjumbe wa baraza kuu taifa-Chadema,na haya ndio maoni yake,kazi kweli kweli.Na hapa anamtetea katibu wake mkuu,kwa kutoa 'HOJA NZITO'.Dah nafasi za kupewa kikabila ndo matatizo yake haya
Mandela walimfunga jela miaka 27 akaukwaa urais, Nyerere alifunguliwa kesi ya Uchochezi hawakumzuia ikulu, sembuse vijikesi mbuzi vya kumbambikia Dr Slaa visivyo na kichwa wala Mkia?
 
Asipo tii Amri ya Hakim atakuwa amevunja Sheria za nchi kwa hiyo atawezwa kukamatwa kwa amri ya Hakim mkuu Jmushi1 upo na mimi?
Bado naamini hawatathubutu kumkamata.
I dare them to do so.
 
Back
Top Bottom