Bwana Mushi, matendo ya Slaa ndio yatamchafua sio watu.
Hadi amezaa na Josephine, Dr Slaa yuko kimya sana angetoka kufafanua hili jambo litamchafua pasipo sababu. Kama ameamua kuishi na huyo mama hana sababu za kukaa kimya wakati jamii inaumba maneno mengi juu ya uhusiano huo wa kimapenzi.
Nashukuru Mkuu, kwa hiyo kusema Slaa, kachukuwa mke wa mtu ni kumchafua? Kwa hiyo Slaa, hajachukuwa mke wa mtu watu wameamua kumchafua?
Na Josephine ni mke halali wa Slaa? Na hajawahi kuolewa?
kumbe mchumba wa Dr Slaa ni mke wa mtu, Wilbrod anaishi na mke wa mtu, Mgombea Urais anaishi na Mke wa mtu... ni kwamba hajui sheria au yu pu**y whipped?
Haya ndio yale ya Prince Charles na Camilla miaka michache iliyopita. Hapa Cjajua Huyu atakuwa Ni kimada, mchumba AMA hawara. Mimi Nasubiri siku ya ndoa tu nihudhurie. Lakini Dokta naye ajue kabisa dini hairuhusu tendo bila ndoa.
Mbona wako wengi tu wanaishi na wake za watu! Yaani hata binti ambaye hajaolewa anatarajiwakuwa mke wa mtu! Na watu wanachakachua tu! Babu Seya yuko jela alikataa mke wa mtu ama alikula vya watu? Mbaya zaidi hao walioko madarakani wakigundua kuwa umegundua ama uishie gerezani kama sio kuuzima kabisa urijali wako. Yaliyomema hufanyika hadharani ila yaliyomaovu hufanyika kizani. Jiangalieni na pia angalia wanaokuzunguka si wasafi hata kidogo. Samahani kama nimehukumu ila ndivyo ilivyo!
Adabu ni kitu cha bure ndugu yangu,Kichwa cha habari hii kilitakiwa kisomeke hivi " PADRI MUASI NA MZINZI MWENZIWE WATAKIWA KUFIKA MAHAKAMANI"
Ulianza vizuri lakini naona umekujakuchanganya habari katikati; mi nianze hivi kama unataka maamuzi yako yaheshimiwa basi ni wajibu wako kuhakikisha unafanya maamuzi ambayo hayata itilafiana na taratibu zingine na za sehemu nyingine;
Hoja imejikita katika swala lako la ama kujifanya hujui au ni labda kweli hujui na kwa kutaka kuchanganya taratibu za Kidini na za Kiserikali utakuwa hutendei pande hizi mbili haki.
Mosi ni vyema utambue kuwa katika sheria ya ndoa, ndoa natambuliwa kama mkataba baina ya pande mbili tofauti (an agreement (contract) entered voluntarily btn two people of opposite sex the breach of which could lead to legal consequences) kwa hiyo ndoa ni Mkataba unaoweza kuvunjwa ama kuvunjika;
Katika dini nitazungumzia Ukristo ndoa inaamnika kuwa ni muunganiko Mtakatifu (a unification btn two people of opposite sex/gender which is declared and believed to be holy {SACRED}) ambao hakuna mtu anaweza kuuvunja isipokuwa Mungu eg katika kifo na ndiyo maana wanandoa huwa wanapewa kukiri yale maneno "kwa shida na raha, ugonjwa na taabu, sijui umasikini na utajiri mpaka kifo kitakapotutenganisha" na humaliziwa kwa maneno haya alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha."
Sasa basi kwa msingi huo kama hutotaka Uhuru wako uingiliwe ni bora akatafuta pale ambapo unadhani fikra na uamuzi wako hautaitilafiana na taratibu za watu wengine ili ukiwa unaenda Kanisani ujue unakwenda kwa kuwa umekubaliana na taratibu za Kikanisa na unapokwenda kwa DC ama kwingineko ni kwamba umekubaliana na taratibu zao ndo maana kunakuwa na option hizo otherwise huwezi tu kulaumu from nowhere.......
Hivyo ndo ya Mzee yeye mwenyewe anajua ugumu uko wapi na ni vyema akaachiwa yeye mwenyewe hapa tutajadili hewa tu ndo maana yeye mwenyewe ama hana mda au anashindwa namna ya kujibu swala hili........
unaumwa sana wewe,hivi wewe na hiyo sura yako kama kibabu cha miaka 100 utaweza fananisha na dr slaa?
kwa kuwa ww mwenyewe umo jamvini, sio vibaya ukatujulisha je leo uliitikia wito wa mahakama au unasubiri nguvu zitumike? Na kingine kwenye maelezo yako umesema 'unaomba talaka', sasa bibie kuomba kuna mawili, kupewa au kunyimwa. Inakuwaje uanze mahusiano na wengine kabla ya kumalizana na mumeo kwanza? Je asipokubali kutoa talaka utamlazimisha? Au ndio potelea mbali na liwalo na...?siyo lazima uwe mwanasheria kujua sheria,unaweza kujisomea vifungu na kuelewa.
Cha ajabu kiko ,wapi?napoamua kuomba Talaka.nani alikwambia kanisha ilikataa!
NILIPOINGIA KWENYE NDOA MAAMUZI YALIKUWA YAKWANGU,SASA NAPOTAKA KUTOKA KWANINI MNATAKA KUSHIRIKISHWA.
Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu,mnachotakiwa kufanya ni kushahuri the step ahead.
Ni Mzinzi tu kwa lugha rahisi
kwa kuwa ww mwenyewe umo jamvini, sio vibaya ukatujulisha je leo uliitikia wito wa mahakama au unasubiri nguvu zitumike? Na kingine kwenye maelezo yako umesema 'unaomba talaka', sasa bibie kuomba kuna mawili, kupewa au kunyimwa. Inakuwaje uanze mahusiano na wengine kabla ya kumalizana na mumeo kwanza? Je asipokubali kutoa talaka utamlazimisha? Au ndio potelea mbali na liwalo na...?
huu pia si ufisadi alio ufanya au ufisadi una maana tofauti?
Kichwa cha habari hii kilitakiwa kisomeke hivi " PADRI MUASI NA MZINZI MWENZIWE WATAKIWA
KUFIKA MAHAKAMANI"