Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Waislam wengi marekani ni wamarekani weusi,loon,ice cube,chriss turker,tyson, napoleon na crew yote ya Tupac, japo waislam weupe USA wapo
Wapo wangapi/idadi kiasi gani?Ice cube,Chris Tucker,Tyson,Napoleon na crew ya Tupac haijaswihi kurasimisha madai yako.
 
Inapaswa dunia nzima ielewe,ukiachana na hiyo uislamu ndio dini inayoeneza chuki na uadui dhidi ya watu wasio waumini wa dini hiyo,na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi na magaidi.
Eti dini inakundi kinajiita Islamic jihad na wana silaha za moto. Kwa ajili ya kumpigania Allah halafu huyo Allah anawalipa kufanya ngono na bikira 72 na pombe.
 
Wapo wangapi/idadi kiasi gani?Ice cube,Chris Tucker,Tyson,Napoleon na crew ya Tupac haijaswihi kurasimisha madai yako.
us?

Islam is the fastest growing religion in America. By 2050, the Muslim American population is expected to more than double, from 3.5 million today to 8.1 million. This increase would make Muslims the second-largest religious group in the United States.18 Apr 2022

https://it.usembassy.gov › muslim-a...

Haujajibu ulichoulizwa...."is expected"...!Unaelewa maana yake?
 
Unamaanisha uislamu ni ujima uliotopea?
Ujima ni nini!?..kuoana jinsia moja!?..binti yako kuingiza mzinzi mwenzie nyumbani kwako na kuona si tatizo?.. wanawake kutembea na vichupi hadharani!?..kulewa kuwa jambo la kawaida?..
 
Kwa hiyo mtume hakuwa mwarabu?
 
Ujima ni nini!?..kuoana jinsia moja!?..binti yako kuingiza mzinzi mwenzie nyumbani kwako na kuona si tatizo?.. wanawake kutembea na vichupi hadharani!?..kulewa kuwa jambo la kawaida?..
Punguza kelele
 
USA ina watu wangapi?Na hiyo 3.5 ni asilimia ngapi ya population yao?
Una shida gani?!..au hesabu hujui, nimeweka idadi na asilimia hapo,hesabu za la nne,fanya,lakini hoja uliuliza wapo wangapi,haya mengine ni maumivu ya moyo tu
 
Una shida gani?!..au hesabu hujui, nimeweka idadi na asilimia hapo,hesabu za la nne,fanya,lakini hoja uliuliza wapo wangapi,haya mengine ni maumivu ya moyo tu
Kwa hiyo ukieleza unakua kwa haraka kulinganisha na population yao unaona kuna ukweli?
 
Inapaswa dunia nzima ielewe,ukiachana na hiyo uislamu ndio dini inayoeneza chuki na uadui dhidi ya watu wasio waumini wa dini hiyo,na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi na magaidi.
Yaani kobazi acha kabisa, wana visasi hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…