Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Ni sawa na kutoka siti ya dirishani na kuhamia siti ya koridoni ila usafiri ni ule ule...
 
Unadhihirisha tu uelewa wako mdogo,hoja hapa ni uislam kuwa flexible na wakati kama ukristu ambao waanglikana walisharuhusu ushoga tangu early 2000s na ukatoliki papa karuhusu ushoga, uislam haiwezi hilo sababu nabii alishakufa kitambo hakuna mwenye mamlaka ya kubadili jambo,huyo kamaa kaamua kupakuliwa ni yeye,akiamua kulewa,kuzini,kuiba ni yeye na si uislam,kombe la dunia qatar mkataka kupeleka agenda zenu za uchoko,ikashindikana,huo ndiyo uislam
 
Nyie watu uelewa wenu shida sana,si ajabu mnaibiwa na muuza mafuta ya upako na kiboko ya wachawi
Hivi wewe punguani kati yako na wasaudia nani anatakiwa kuwa muislamu? Mmekalia ujinga tu humu kuwapambania Hezbollah na Hamas kisa dini wakati waarabu wwnzao jirani tu hapo Misri,Jordan saudia wametulizana na hao ndo waislamu sasa nyie huku Kiteto
 
Kulikua na makafiri wengi tu wa saudi arabia walikufa vitani wakipigana na mtume, uislam si mali ya kabila wala ukoo,saudi arabia ndiyo inaongoza kutoa pesa kwa ajili ya wapalestina,na vita vikiisha watatoa pesa kuijenga
 
Unafikiri uislam kama ukristu watu kukaa kujadili nini kitoke nini kiongezwe!?..kelele zote na chuki dhidi ya uislam na kumbe huujui!!
Quruani ni kitabu kilichoandikwa na Mwanadamu na kinaweza kufanyiwa Editing ili kiende na wakati badala ya kuamrisha Jihadi dhidi ya Dini nyingine.

Kuondoa vipengele vinavyosema "find Kill unbelievers" ndio maana Uisilamu imefanywa kuwa ni chaka la UGAIDI.
 
Usirembe.Andika ni SATANIC VERSES.Mola amjaaliye Suleiman Rushdie siha mwororo.InshaAllah!🙏😎
 
Uislam hauna msitari unaosema ua watu wa dini nyingine,waulize waislam wakufundishe siyo unakopikopi vitu kwenye mitandao yenye chuki dhidi ya uislam,unaenda kutafuta jema la CCM ofisi za chadema secretary mdude na masese!!
 
Dr.Umar anasema Uisilamu unasambaza "Arabic Culture" Hoja yake inamashiko 100%
 
Uislam hauna msitari unaosema ua watu wa dini nyingine,waulize waislam wakufundishe siyo unakopikopi vitu kwenye mitandao yenye chuki dhidi ya uislam,unaenda kutafuta jema la CCM ofisi za chadema secretary mdude na masese!!
Acha uongo wewe.
 
Muislam gani huyo gangster?

Mizimu ya kiafrika Iko mingi anakuja kwenye mizimu ya Koo gani?
Asije akaenda kwenye ile ya kuuwa albino ili utajirike.. mizimu yetu afrika miyeyusho sana.. mi siwalaumu baadhi ya babu zetu kusanuka na kufuata dini ya mzimu wa ibrahimu
 
Usirembe.Andika ni SATANIC VERSES.Mola amjaaliye Suleiman Rushdie siha mwororo.InshaAllah!🙏😎
Satanic verses zinazotaka yatima kutendewa sema,msafiri aliyeharibikiwa safari kupewa msaada,kuwasaidia mafukara na wasiojiweza,kutokaribia zinaa,kutolewa,kutoiba,kutodhulumu mizani,kuheshimu na kitendea wema wazazi!?
 
Uislam hauna msitari unaosema ua watu wa dini nyingine,waulize waislam wakufundishe siyo unakopikopi vitu kwenye mitandao yenye chuki dhidi ya uislam,unaenda kutafuta jema la CCM ofisi za chadema secretary mdude na masese!!
Kwasababu hujui Kiarabu na huuijui Quruani.
 
Back
Top Bottom