gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Pole sana,kakwambia nani!?..unaumia sana na uislam,sijui walianza kukufundisha kumchukia mwarabu kwanza halafu dini yake au dini yake kwanza halafu mwarabu!?..maana unachukia uarabu!Mumekaririshwa hata wakati mnaswali kuna vijineno vya Kiarabu huwa mnavisema hata hamjui maana yake.