Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Huo ni msikiti,ndipo waislam huelekea hapo kwenye swala zao, msikiti huo hufunikwa kwa pazia jeusi
Hilo ni Jengo la Mapagani wa Kiarabu walikuwa wakizunguka wakiwa uchi Uislamu ukaja kiwazulumu.
 
Hakujibu yote,alipoulizwa nae aliuliza,kuuliza siyo kujibu
Huyu bikra wa 66 hutomkosa huko
fede4e8ffac7c338ba1193c9418a70bf-1273630342.jpg
 
Nina shaka sana na uwezo wenu wa kufikiri,no wonder mnaabudu mungu msiemuelewa
Wew nijibu Saudia kuna upuuzi unaoitwa Islamic jihad? Dubai kuna ungese unaoitwa Islamic jihad? Na kama hakuna nikwa nn havipo?
 
Hiyo ni Story ya kutunga haina ushahidi wowote.
 
Usipo sali kiarabu Mungu hasikii ? Wavaa kobazi wana vichwa vidogo sana kuamini aya mambo wana funzana kiarabu wakiamini ndo lugha sahihi
Mkuu, zamani kabla ya makabila kuingiliana sana, wakristo walikuwa na Bible zao kwa lugha za kabila zao na hivyo kusali kwa kabila lao na MUNGU alikuwa pamoja nao. Leo kutokana na mwingilio huo wanatumia lugha mbili yaani Kingereza na Kiwahili na MUNGU yupo pamoja nao.
 

Attachments

  • il_570xN.4594874236_qorx.jpg
    il_570xN.4594874236_qorx.jpg
    127.9 KB · Views: 3
Ndio. Alipojiunga Uislamu alitakiwa ajue nini adhabu yake atapoamua kuikacha. Huo ni mikataba.
Unapojiunga hawakwambii kuwa ukitoka unauwawa 😁

Sasa hivi Waisilamu wengi wanaachana na Uisilamu karibia asilimia 30% ya Waisilamu wa Canada US UK na hata Nchi za Kiarabu kama Saudia sema huko wanaogapa kujitangaza kwasababu ya kuuwawa.
 
Back
Top Bottom