Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Duuu wewe ni umepandizwa uyahudi kwenye kichwa chako lakini wayahudi hawali kitimoto
Tatizo au ajabu iliyopo ni kuwa Myahudi anakunbatiwa na kusaidiwa na wala Nguruwe huku yeye myahudi akiangamiza wasio kula Nguruwe wenzake (Waparestina na Wale anon).
 
Umeweka vipande vya aya ambavyo havitoi maana halisi iliyo kusudiwa.
Weka Aya kamili na asbabul nuzul ili tujadili.
Usituletee ujanja wa Sunday school hapa.
Impole amekutwa na mkufu wa dhahabu wenye gramu 400 akitoka nyumbani kwa Forexy.
Kwani hizo aya ni za kitabu gani kwani. Impole ndio nani..?
 
Kulikua na makafiri wengi tu wa saudi arabia walikufa vitani wakipigana na mtume, uislam si mali ya kabila wala ukoo,saudi arabia ndiyo inaongoza kutoa pesa kwa ajili ya wapalestina,na vita vikiisha watatoa pesa kuijenga
Kumbe! Kwa hiyo hata Saudi kuna kikundi cha Islamic jihad chenye silaha?
 
Nineisoma kwa miaka 32,na bado nashangazwa nayo,juzi nimesoma aya inasema ubongo wa mbele ndiyo hutumika kudanganya,na imethibitishwa kisayansi
Unakaririshwa Kiarabu bila kujua maana yake hebu soma 9:5 katika lugha ya Kiswahili au English.

Waislamu wa Kiafrika wengi wanajua kuikariri Quruani bila kujua maana.
 
Unakaririshwa Kiarabu bila kujua maana yake hebu soma 9:5 katika lugha ya Kiswahili au English.

Waislamu wa Kiafrika wengi wanajua kuikariri Quruani bila kujua maana.
Nilijua utaokota okota,anzia 9:1-5,ukimaliza nenda 9:13-14 utapata context,surat tawba(toba) ni sura ya vita na haijaanza na bismillah
Bado kuna aya moja hujaweka,huwa mnaipenda pia kuhalalisha uwongo wenu
 
Tatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe
Siku mkiacha kusali kwa kiarabu au kuvaa mavazi ya kiarabu nitakua muislamu tofauti na hapo uislamu ni dini ya kueneza tamaduni za kiarabu nothing mor nothing less.
 
Nilijua utaokota okota,anzia 9:1-5,ukimaliza nenda 9:13-14 utapata context,surat tawba(toba) ni sura ya vita na haijaanza na bismillah
Bado kuna aya moja hujaweka,huwa mnaipenda pia kuhalalisha uwongo wenu
Ziko sura nyingi tu mimi nime Google kidogo tu nimekutana na hiyo.
 
Siku mkiacha kusali kwa kiarabu au kuvaa mavazi ya kiarabu nitakua muislamu tofauti na hapo uislamu ni dini ya kueneza tamaduni za kiarabu nothing mor nothing less.
Kwani ukiwa muislam uislam utafaidika na nini?
 
Attachments

  • FB_IMG_1728291616511.jpg
    FB_IMG_1728291616511.jpg
    51.2 KB · Views: 2
Siku mkiacha kusali kwa kiarabu au kuvaa mavazi ya kiarabu nitakua muislamu tofauti na hapo uislamu ni dini ya kueneza tamaduni za kiarabu nothing mor nothing less.
Na siku hiyo ndio watasoma Quruani Kiswahili na kuyatambua yaliyomo ndani.
 
Ziko sura nyingi tu mimi nime Google kidogo tu nimekutana na hiyo.
Ume google aya nilizokupa za sura hiyohiyo ukaona!?..au hutaki,kichaka ulichojificha kitaungua?..eti sheikh google!!?
 
Tunayatambua mbona,ndiyo maana tubafunga na kuswali,vaa hijabu,hatuli nguruwe nk
Mumekaririshwa hata wakati mnaswali kuna vijineno vya Kiarabu huwa mnavisema hata hamjui maana yake.
 
Sijaplay hiyo video lakini kama dokta mwenyewe ndo huyo anayeonekana hapo na virasta basi sishangai kusikia hayo yaliyoandikwa
 
Back
Top Bottom