Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Hilo wala halinishangazi.

Nakuuliza wewe, wewe ni mstaarabu au siyo mstaarabu?

Hapo sasa.
Usinitege na Vijimaneno tulivoviazima kutoka katika Lugha za Wakoloni ni uvivu tu wa Baraza la Kiswahili Tanzania kutunga mbadala wa lugha hizo za Kikoloni.

Kila lugha ina maneno ya kuazima hata Kiarabu chenyewe kina maneno ya kuazima kutoka katika lugha nyingine.
 
Abuu lahab alikuwa amii yake mtume na hakumkubali na hakuwa muislam, sembuse yeye Allah hapungukiwi kitu hata dunia zima tukigoma kumuabudu,
 
Abuu lahab alikuwa amii yake mtume na hakumkubali na hakuwa muislam, sembuse yeye Allah hapungukiwi kitu hata dunia zima tukigoma kumuabudu,
Mtume alikuwa muongo sana yaaan kifupi kajipa utume
 
Abuu lahab alikuwa amii yake mtume na hakumkubali na hakuwa muislam, sembuse yeye Allah hapungukiwi kitu hata dunia zima tukigoma kumuabudu,
Tatizo sio kugoma kuabudu tatizo ni kutenganisha Dini na Culture ya Kigeni kweni huwezi kumuabudu Allah bila kusema Kiarabu?!
 
Tatizo sio kugoma kuabudu tatizo ni kutenganisha Dini na Culture ya Kigeni kweni huwezi kumuabudu Allah bila kusema Kiarabu?!
Nimekuuliza swali, vipi wewe, mstaarabu au siyo mstaarabu?
 
Unaona hapo huwezi kumuelezea Mungu kwa lugha yako hadi urejee neno allah
Kwani ulisema Mungu tu maana itabadilika?
Jina la Allah halina wingi hata kwenye kiarab lakini mungu lina wingi kwahiyo utapo tumia mungu inamaana ana washirika yaani miungu mingine ila unapo sema Allah, hakuna wingi wa jina hilo popote dunia katika lugha yoyoe ile
 
Usinitege na Vijimaneno tulivoviazima kutoka katika Lugha za Wakoloni ni uvivu tu wa Baraza la Kiswahili Tanzania kutunga mbadala wa lugha hizo za Kikoloni.

Kila lugha ina maneno ya kuazima hata Kiarabu chenyewe kina maneno ya kuazima kutoka katika lugha nyingine.
Sina sababu ya kukutega, swali langu kwako jepesi sana.

Vipi wewe, mstaarabu au siyo mstaarabu?
 
Teh! Black America washaanza kushtukia utumwa wa mwarabu ulikua mbaya zaidi kuliko wa mzungu
Utumwa wowote ni mbaya.

Uislam ndiyo umekuja kutowa watu utumwani. Kumbuka hilo.

Unajuwa meli ya kwanza kupeleka watumwa Marekani iliitwaje?
 
Kumbe wewe ni kama mimi, mimi nilikuwa Mwisilamu, nikabadri dini fasata na kuwa Mkristo,

Tangu nipokee wokovu, sjawahi kujuta, nilikuwa naumwa sana kichwa kabla, niliombewa nikaanguka mapepo, tangu siku ile nilipona kichwa mpaka leo
Umeenda kumuabudu mungu aliezaliwa na binadamu kama wewe, akanyonya, akatahiriwa, na mwisho akasulubiwa hongera sana.
 
Kondoo hawana hoja, wanabishana kikondoo tu.

Ukiona mtu analikimbia swali, anashindwa kulijibu, elewa kuwa huyo ujumbe umemuingia.
 
Tatizo sio kugoma kuabudu tatizo ni kutenganisha Dini na Culture ya Kigeni kweni huwezi kumuabudu Allah bila kusema Kiarabu?!
Kabla ya ujio wa mtume muhammad waarab wa makka waliuwa na culture zao, baada ya hapo waarab waka copy kwenye uislam mpaka hii Leo,
Nchi za kiislam zinaendesha sheria zake kwa kutumia uislam,
 
Back
Top Bottom