Kajunjumelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2024
- 220
- 239
Sasa hapo akili itakuwa sawa kweli?Bangi ni mboga na hutumiwa katika Ibada za baadhi ya Waafrika mfano ni mmoja ni Rastafarians.
View attachment 3118816
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo akili itakuwa sawa kweli?Bangi ni mboga na hutumiwa katika Ibada za baadhi ya Waafrika mfano ni mmoja ni Rastafarians.
View attachment 3118816
Aiseee sa SI upuuzi mtupuDini za Asili za Kiafrika ni pamoja na ancestors worshiping ziko za aina nyingi sana.
uislam/ugaidi/ugonvi/vita/matusi/ukatili/uasi= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
Wapi nimekwambia hizo habari?Kweni wewe unaeamini Mtume wako aliupasua Mwezi vipande viwili Akili yako iko sawa?!
Hizi ni story kama story nyingine hazina ukweli wowote.KURITADI
1. Surat An-Nisa (4:137)"Hakika wale walioamini, kisha wakakufuru, kisha wakaamini tena, kisha wakakufuru tena, kisha wakaongeza ukafiri, Mwenyezi Mungu hatawasamehe, wala hatawaongoza njia.
"Hii inaonyesha kwamba kuritadi na kisha kurejea kwenye Uislamu tena na tena ni kitendo kinachodhihirisha ukosefu wa imani thabiti, na kwa watu wa aina hii, msamaha unaweza kuwa mgumu zaidi kupatikana.
2. Surat Al-Imran (3:90)"Hakika wale waliokufuru baada ya kuamini, kisha wakaendelea kuzidi ukafiri wao, haitakubaliwa toba yao, na hao ndio wapotevu."Hapa, Qur'an inabainisha kwamba kuritadi na kuzidi kwenye ukafiri kunaweza kuwafanya watu hao wasistahili msamaha.
Akili ya ung'amuzi huna, nimekwambia mi husoma Quran hata nikiwa naendesha baiskeli na bila kuwa na kitabu..kusoma Quran kukoje!?Njoo na jibu sio kujitamba kuwa unajua wakati huna majibu.
Sasa ukishavuta bangi si ni watu wote unawaona hawana akili yaani wewe ndiye mwenye akili nyingi kumbe ni kinyume chakeRastafarians wote niwajuao ni Watu wenye Akili nyingi.
Majibu ya nini!?..wewe mbona unaeleweka kuwa zamwamwa,hata ueleweshwe vipi huelewiUnaikariri hiyo Quruani kwasababu imeandikwa Kiarabu lakini huielewi na ndio maana huna majibu.
Kwanini inakuwa lugha ya "kibantu"? Unafahamu, kwanini mtu anakuwa Mbantu?Ni Lugha ya Kibantu.
Mungu kaumba Mbantu kama alivyomuumba Mwarabu Mungu hana Lugha wala Kabila kwanini tuswali kwa Kiarabu Azana Kiarabu nk. Nk.Kwanini inakuwa lugha ya "kibantu"? Unafahamu, kwanini mtu anakuwa Mbantu?
Siyo kila mtu mweusi ni mbantu. Kumbuka hilo.
Muangalie huyu mwenzako alivyozipangua HOJA za Dr.Umar Johnson kwa ufasaha wa hali ya juu sio wewe unajiuma uma tu humu👇Majibu ya nini!?..wewe mbona unaeleweka kuwa zamwamwa,hata ueleweshwe vipi huelewi
Jibu hili kwanza:Mungu kaumba Mbantu kama alivyomuumba Mwarabu Mungu hana Lugha wala Kabila kwanini tuswali kwa Kiarabu Azana Kiarabu nk. Nk.
Sio kweli.Huko Ireland ya kaskazini,magaid ya waprotestant na wakatoliki,wameuana sana,na huko Rwanda wakatoliki wamewauwa watu wengi,mpaka kanisani.Bado Lord resistence Army,ya wakristo,imeua watu wengi,hatujamgusa Askof Kibwetere wa Uganda,alivyoua na kuchoma waumini Kanisani,ukienda Kenya hapo Mchungaji Ezekiel alivyoua mamia ya watu.Na sehemu nyingi tu.Huyo muisrael,gaidi amemuua Yesu,wakamsulubu,wakampiga,wakamtukana,wakamvalisha nepi,,na alikuja kuwakomboa.Hizo dini za asili,ndio zilizowauza waafrika utumwani,na kuwazika wazima watu watatu,anapokufa mkubwa wa hizo dini,wakichinja walio hai kwa kutoa kafara,vita vya makabila kwa kuuana,kila siku.Inapaswa dunia nzima ielewe,ukiachana na hiyo uislamu ndio dini inayoeneza chuki na uadui dhidi ya watu wasio waumini wa dini hiyo,na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi na magaidi.huko
Hayo ya kuniuliza Asili ya Mbantu ni sarakasi za kutaka kunitoa kwenye Mada.Jibu hili kwanza:
Kwanini inakuwa lugha ya "kibantu"? Unafahamu, kwanini mtu anakuwa Mbantu?
Siyo kila mtu mweusi ni mbantu. Kumbuka hilo.