imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yafuatayo yanakua practiced na uislam but ni pure utamaduni either wa Kiarabu au mashariki ya kati.Maadhali kadai uislam unamfanya mtu kufuata tamaduni za kiarabu/arabisation,basi ni dhahiri uislam haujui na ni haki yake kuhamia kwenye mizimu ya kiafrika, waarabu walimuandama muhammad wakidai anawaharibia tamaduni zao,wakampiga mpaka vita vya damu na nyama
Hijabu ni maelekezo ya Quran,kasome suratin nisa',kabla ya uislam waarabu wanawake wakienda uchi kama akina kajala,hakuna lugha ya uislam,una uhakika kanzu ni ubunifu wa mashariki ya Kati?!..kabla ya uislam mahari arabuni ilikua ni ya wazazi kama wasukuma na wamasai, uislam ndiyo umeelekeza mahari ni ya muolewajiYafuatayo yanakua practiced na uislam but ni pure utamaduni either wa Kiarabu au mashariki ya kati.
1. Uvaaji wa kanzu ni full culture ya mashariki ya kati
2. Uvaaji wa Hijabu kwa wanawake ni utamaduni wa Kiarabu na Wayahudi enzi na enzi
3. Kwanini lugha ya Kiislam iwe ni Kiarabu? Yaani mungu hasikii lugha nyingine zaidi ya kiarabu? Ili uwe muislam lazima ujifunze Kiarabu?
4. Mtoto wa kike wa Kiislam akichumbiwa, yeye ndio anatakiwa kupendekeza mahari; huo sio utamaduni tofauti na mashariki ya kati specifically Uarabuni
5. Ili uwe muislam mzuri na una uwezo, sharti uende Uarabuni
Nk nk nk; haya yote ni Arabian culture not Africanast
Wamependeza sana na mavazi yao ya asili kuliko hayo ya utamaduni wa kiarabuView attachment 3118015
Picha ya Juu ni Wanawake wa Kisomali katika mavazi yao ya Asili ya Kiafrika na chini ni Wanawake wa Kisomali walioarabishwa na kuvaa mavazi ya Kiarabu.
Wasomali ambao ni Jamii za kiafrika Wamearabishwa kuliko Jamii yeyote katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki.
Na bado wao ndio waathirika wakubwa wa Ugaidi wa Alshababu.
Kwa America ni Dr. Ray Hagins.Hapo kwenye Dini ya mizimu ya kiafrika, hiyo dini kasisi wake ni nani?
Waandishi maana yake nini!?..maana hata katibu ni mwandishi kwa tafsiri ya kiarabuWaandishi wa Quruani walikuwa ni hao hao Waarabu
Bado hujui maana ya mwandishiUmedanganywa kuambiwa kuwa Quruani ni Direct "Word of God" na kwamba "IMESHUSHWA" huko Arabia.
Waandishi walikuwa ni Watu tu kama mimi na wewe.
Ulitaka ishuke ikiwa imeandikwa kabisa kwenye kitabu chenye kurasa za mbinguni!?..thibitisha madai yako kuwa nimedanganywa na ni kiliandikwa na watu,huwa umejaza togwa ndani ya fuvu,uwezo wa kufikiri mdogoUmedanganywa kuambiwa kuwa Quruani ni Direct "Word of God" na kwamba "IMESHUSHWA" huko Arabia.
Waandishi walikuwa ni Watu tu kama mimi na wewe.
Quruani ni mikono ya Watu na sio Direct Word of God.Bado hujui maana ya mwandishi
Ulitaka ishuke ikiwa imeandikwa kabisa kwenye kitabu chenye kurasa za mbinguni!?..thibitisha madai yako kuwa nimedanganywa na ni kiliandikwa na watu,huwa umejaza togwa ndani ya fuvu,uwezo wa kufikiri mdogo
Kuna siku nilikusihi uwaombe waislam wakufundishe kuhusu dini yao badala ya kubishana bila kuwa na elimuQuruani ni mikono ya Watu na sio Direct Word of God.
Hakuna sehemu Muhamad saw alisema kuwa kakutana Mungu kama ipo naomba USHAHIDI tafadhali.
Dini yenu ya Kiislamu imeanikwa HADHARANI kwenye Internet 😆 tumshukuru sana sana mgunduzi wa World Wide Web Allah amjaalie zaidi.Kuna siku nilikusihi uwaombe waislam wakufundishe kuhusu dini yao badala ya kubishana bila kuwa na elimu
Ukienda chooni kunya,mavi yanavyotoka tumboni kwenda tundu la choo,ndiyo mfano wa kushushaNini maana ya "Kushushwa"?