Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.

Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.

View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS

sasa atafanyaje, manake hiyo dini ukiihama wameamriwa wakukate kichwa.
 
sasa atafanyaje, manake hiyo dini ukiihama wameamriwa wakukate kichwa.
Uzuri Dr. Umar Johnson anaishi USA ambako hakuna ISLAMIC SHARIA, America ni Secular, lakini akienda Saudi Arabia au Bahrain au Afghanistan atauwawa kwa kuchinjwa kwa upanga hadi kufa.
 
Uzuri Dr. Umar Johnson anaishi USA ambako hakuna ISLAMIC SHARIA, America ni Secular, lakini akienda Saudi Arabia au Bahrain au Afghanistan atauwawa kwa kuchinjwa kwa upanga hadi kufa.
dini gani sasa hiyo ya kulazimishana na kuchinja watu?
 
Samahani ndugu! Nipo serious na n ataka kuelimishwa....! Sijui aya wala kurasa. Ila nataka unitoe tongotongo... habari za kuwakata vichwa wasio waislamu hazijaelezwa kwenye kitabu cha Allah?

Mambo ya Walawi 24:16 SRUV​

BHNSUVNenoSRUV
Na yeyote atakayelaani jina la BWANA hakika atauawa; mkutano wote watamwua kwa kumpiga kwa mawe; kama ni mgeni, kama ni mzaliwa, hapo atakapolaani jina la BWANA atauawa.

SRUV: Swahili Revised Union Version
https://www.bible.com/sw/bible/1818/LEV.24.SRUV
 
View attachment 3117780
Viongozi wa Dini za Mizimu wa Kabila la Dogon wa wakifanya ibada za matambiko yao.

Sasa hivi wameshambuliwa na Magaidi ya Kiislamu huko Mali.

View attachment 3117781
Mwarabu anataka kufuta kabisa Culture yetu ya Kiafrika ili tufuate Culture yeke ili tuwe Watumwa.
Wakati huko Mali waarabu wanawaandama hawa jamaa, huku kwetu tunapambana na wenye dini za asili kama wamasai, wambugwe, wabarbegi n.k. japo kwa njia ya amani na ushawishi ila lengo likiwa lile lile la kuwaondoa kwenye imani yao ya asili.
Hatari sana..!

Mfano, wamasai wanaonekana hawana thamani kwa kuwa tu wanasimamia imani yao.
Juzi kati wakristo tulichangisha fedha za kupeleka injili umasaini ili kuwarubuni waache dini zao na kujiunga na ukristo.
 
Mambo ya Walawi 24:16 SRUV​

BHNSUVNenoSRUV
Na yeyote atakayelaani jina la BWANA hakika atauawa; mkutano wote watamwua kwa kumpiga kwa mawe; kama ni mgeni, kama ni mzaliwa, hapo atakapolaani jina la BWANA atauawa.

SRUV: Swahili Revised Union Version
Mambo ya Walawi 24 | Biblia SRUV | YouVersion
hilo ni agano la kale ndugu yangu, na walikuwa wanasafishwa kizazi cha nyoka na majini kama wewe. tangu Yesu aje, ni Neema, hakuna kuuana. upendo unatawala, ila mungu wenu ninyi aliyekuja miaka 500 baada ya yesu, ni chinjachinja.
 
We rukaruka tu
 
Juzi kati wakristo tulichangisha fedha za kupeleka injili umasaini ili kuwarubuni waache dini zao na kujiunga na ukristo.
Uzuri ni kwamba hautumiwi upanga au AK47 ili Wamasai Wajiunge na Ukristo zaidi ya ushawishi na pengine zawadi, lakini sehemu nyingi Afrika na huko Sahel Magaidi yanaua kwa kutumia "Jihadi" ili kuwasilimisha Native Africans laa sivyo ni kulipa "Jizya" kodi maalumu wanayotakiwa kulipa unbelievers "Kafirs".
 
cziq01bmd6f31.jpg

Picha ya Juu ni Wanawake wa Kisomali katika mavazi yao ya Asili ya Kiafrika na chini ni Wanawake wa Kisomali walioarabishwa na kuvaa mavazi ya Kiarabu.

Wasomali ni Jamii za kiafrika zilizoarabishwa kuliko Jamii yeyote katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki.

Na bado wao ndio waathirika wakubwa wa Ugaidi wa Alshababu.
 
sddefault (2).jpg

Dr. Umar Ifatunde yuko sahihi kwa asilimia nyingi.
 
Back
Top Bottom