gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Huwezi kuujua uislam kea google mzee,kilimo cha matikitiki tu huwezi kukijua kwa google iwe uislam,na zaidi unaenda kwenye viwebsaiti vya kupinga uislam kujifunza uislamDini yenu ya Kiislamu imeanikwa HADHARANI kwenye Internet 😆 tumshukuru sana sana mgunduzi wa World Wide Web Allah amjaalie zaidi.