imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
- Thread starter
- #681
KISWAHILI Kinaeleweka na Asilimia 95+ ya Watanzania.Kwanini kiswahili wakati TZ tuna makabila 120+ na kila kabila Lina lugha yake?! Kuswali na kuadhini kwa kiswahili si kuwatia watu wa makabila mengine katika utumwa wa waswahili?!
Sisi ni Waafrika tunapomuabudu MUNGU/NGAI tutumie Lugha yatu ya Kiafrika.