Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Kiarabu na uislamu huwezi ukatenganisha, peponi lugha itakayozungumzwa ni kiarabu, na sio kichina, kiswahili au kiingereza n.k. sema watu kama wewe huwezi elewa
Acha kudanganya Waafrika na hiyo Pepo yenu, nitajie Mtu hata mmoja aliyeenda na kurudi kuja kuhadithia?!
 
Dini zote hazina faida yoyote kama kuna mtu amefaidika kupitia dini atuambie labda wezi wa sadaka
 

Utasema sisi Waafrika hatuna Culture!
 

Waafrika tuna Mila na Tamaduni zetu
 

Tumeumbwa na MUNGU kuwa Waafrika na tuna Mila na Tamaduni zetu.
 

African Culture. Wodabe Tribe of Niger.
 

Arab Culture, Arabized African Woman.
 

Wanawake wa Kiarabu wakiwa wamevalia Mavazi ya Utamaduni WAO.
 

Wanawake wa Kiafrika waliolaghaiwa ili kufuata Utamaduni wa Kigeni.
 
Ingawa siafiki huko alikokwenda.

Ila ana hoja asikilizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…