DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Umeishiwa na Hoja
Wewe ndie umeishiwa mkuu, mmebaki na chuki tu kwa waislamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeishiwa na Hoja
Acha kudanganya Waafrika na hiyo Pepo yenu, nitajie Mtu hata mmoja aliyeenda na kurudi kuja kuhadithia?!Kiarabu na uislamu huwezi ukatenganisha, peponi lugha itakayozungumzwa ni kiarabu, na sio kichina, kiswahili au kiingereza n.k. sema watu kama wewe huwezi elewa
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Eti ndio mnataka kuongoza nchi, bora ccm iendeleeHajapendeza bali kafanywa Mtumwa wa Kiarabu.
Jikite kwenye HOJA.