Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Unazidi kuchanganya madesa tu!
Hebu someni kuluwani yenu vyema ndo maana hamtaki watu waijue kwa lugha zao mama
 
Dini zilizokuja kwa mashua toka Arabuni na merikebu toka Ulaya ni ubeberu.

Ubeberu kwa kukulazimisha uchukue majina ya kigeni huku ukitupa majina ya kiasili.

Ubeberu wa kidini unafuta historia na miungu yetu ya kienyeji.

Ubeberu unataka sisi badala ya kwenda milima ya Kolelo Morogoro, tuende Jerusalem, Rome, Mecca, Madina, Najaf kuwapa utajiri.

Listi ni ndefu ya ubeberu uliopo ktk dini hizi ngeni.

Turudi nyumbani kuumbatia Miungu yetu ya asili isiyotulazimisha kila siku, kila ijumaa, jumamosi na jumapili kuisujudu miungu ya wageni.

Miungu yetu inatutaka tu tukipata watoto, au kuvuna mazao ndiyo tunakwenda Milimani, Mapangoni, katika miti mikubwa hapahapa Afrika kutoa kafara na sadaka bila kutajirisha taasisi za dini za ki.geni
 
Kitendo tu cha kuhalalisha kiarabu iwe lugha pekee ya kuongea na alaa hiyo ni dosari
Si kweli kwamba Kiarabu ndio lugha pekee ya kuongea Na Allah. Allah utaongea nae kwa lugha yeyote ile. Hio kiarabu ni kwajili ya umoja kwamba tumeumbwa kwa lugha tofauti hivyo tukikutana pale kwa mfano Maka kuhiji kila mtu aongee kilugha chake utakua sio ustaarabu hivyo ibada inaendeshwa kwa kiarabu tena muhimu ni ile sura ya kwanza kimpangilio katika Quran Al fatihah ambayo kila muislam anaijua hata iweje lazima kwakweli Mungu alliturahisishia hio sura alhamdulillah.
Baada ya swala maombi yote uombe kwa lugha inayotaka wewe
 
Mkuu, nami nilikuwa nawaza kwamba huo mwito wa ibada (wazana) hauna tafsiri kwa lugha zingine? Nilitamani sana tuusikie kwa lugha zingine kama "kindengereko " ingikuwa poa sana.
Ndio maana Allah akaweka utaratibu kuepusha dini yake ya haki kuendeshwa na matakwa ya watuu
 
Kwanza Mungu aliyetuumba tuongee lugha tofauti Hana akili ila nyie waislamu jau sana,
 
Tofauti kati ya Uislamu na dini zenu ni kwamba uislamu sio matakwa ya mtu bali ni utaratibu kamili wa maisha ya binadamu uliowekwa na Mola wa viumbe vyote, lakini dini nyingine ni utaratibu uliowekwa na kikundi cha watu kwa maslahi yao binafsi.
 
Unajua zamanı black America wengi walidhani kwamba uislam ndio dini ya mtu mweusi/muafrica ila sasa wengi wameshaamka na kushtukia uwongo wa mwarabu
 
Inapaswa dunia nzima ielewe,ukiachana na hiyo uislamu ndio dini inayoeneza chuki na uadui dhidi ya watu wasio waumini wa dini hiyo,na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi na magaidi.
"na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi"

Dini zilizobaki zina vikundi vichache vya kigaidi mkuu?
 
Kwanza Mungu aliyetuumba tuongee lugha tofauti Hana akili ila nyie waislamu jau sana,
Allah alituumba tuongee lugha tofauti ili tupate kumjua yeye kuwa ndiye mwenye uwezo wa kuumba atakavyo
 
Na ukristo pia utaukimbia.
Ndiyo.
Ukristo na uislamu vyote vipo kapu moja tu kihistoria. Ila uislamu kama ilivyo leo hii umekithiri kwa ukatili na mambo yasiyo na utu.

Kwa kusema hayo, muafrika anapaswa kuachana na hizo dini mbili, aenjoy maisha yake bila hofu za kupandikizwa na mijitu isiyokujali wala kukupenda.
 
Bado hujaj8bu Hoja ya Dr.Umar Johnson.
 
uislamu na ukristo havivundishi ugaidi, vikundi vya kigaidi vinatokea kwasababu mbalimbali, ndefu kujadili
Uislamu unaruhusu kuua asiye muislamu na aliyebadili Imani kutoka uislamu kwenda kwingine

I have been commanded to fight
against people till they testify that there
is no god but Allah, and that Muhammad
is the messenger of Allah"
(Sahihi Muslim 1
:33)

"O you who believe! Fight those of the
unbelievers who are near to you
and let them find in you hardness."
(Quran 9:123)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…