Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.

Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu na amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.

View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS

Isije kuwa aliambiwa ili atimilike katika uislamu lazima awe gaidi sasa kashtuka kaona bora awakimbie
 
Tueleze mkanganyiko huu katika quran UTATA KATIKA QURAN Siku moja ni ya muda gani kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu? a. Siku 1 ni sawa na miaka 1000 (22:47) b. Siku 1 ni sawa na miaka 50,000 (70:4) 2. Mwenyezi Mungu alichukua muda gani kuumba ardhi? a. Siku 6 (7:45, 10:3, 11:7, 25:59) b. Siku 8 ( 41:9-12 ) 3. Je, mbinguni ni kongwe au dunia ni ya zamani? Ni ipi iliundwa kwanza? a. Dunia iliumbwa kwanza (2:29, 41:9) b. Mbingu iliumbwa kwanza (79:27-30) 4. Wanadamu waliumbwa kutokana na kitu gani? a. Bonge la damu ( 96:1-2 ) b. Maji (21:30) c. Udongo uliochomwa (15:26) d. Vumbi (3:59) e. Hakuna (19:67) f. Dunia ( 11:61 ) g. Tone la maji mazito ( 16:4, 75:37 ) h. Udongo unaonata (37:11)
B. ˹through which˺ the angels and the ˹holy˺ spirit1 will ascend to Him on a Day fifty thousand years in length.
Tueleze mkanganyiko huu katika quran UTATA KATIKA QURAN Siku moja ni ya muda gani kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu? a. Siku 1 ni sawa na miaka 1000 (22:47) b. Siku 1 ni sawa na miaka 50,000 (70:4) 2. Mwenyezi Mungu alichukua muda gani kuumba ardhi? a. Siku 6 (7:45, 10:3, 11:7, 25:59) b. Siku 8 ( 41:9-12 ) 3. Je, mbinguni ni kongwe au dunia ni ya zamani? Ni ipi iliundwa kwanza? a. Dunia iliumbwa kwanza (2:29, 41:9) b. Mbingu iliumbwa kwanza (79:27-30) 4. Wanadamu waliumbwa kutokana na kitu gani? a. Bonge la damu ( 96:1-2 ) b. Maji (21:30) c. Udongo uliochomwa (15:26) d. Vumbi (3:59) e. Hakuna (19:67) f. Dunia ( 11:61 ) g. Tone la maji mazito ( 16:4, 75:37 ) h. Udongo unaonata (37:11)
a. Allah anasema siku moja ya

[22:47] Wanakuomba uiharakishe adhabu. Hakika Mwenyezi Mungu havunji ahadi yake. Na Siku moja kwa Mola wenu Mlezi ni kama miaka elfu ya hisabu yenu.
 
Usisahau caliphate pia iliuwa wakristu wangapi

Na chanzo cha crusade ni ku oppose caliphate
Kweli.

Lakini kitendo cha kuwepo kwa crusades na caliphate kunathibitisha kwamba ukristo na uislamu vyote vina kasoro.

Haiwezekani unaabudu mungu mwenye upendo halafu anakutuma uue maelfu ya watu, anakutuma ushikilie mamalaka ya dunia wewe peke yako.

Hizi dini zenu ni vyama vya siasa tu, nothing more, nothing less.
 
Lakini kumbuka Bible ziko za kila Lugha.

Ninaongelea Ile lafudhi ya Hawa ndugu:

download.jpeg

Wewe hujui ni hiyo hiyo dunia nzima hata kama lugha ni tofauti?
 
Yes, mkuu wewe umekua wazi kwa mjadala. Dini yeyote ile ina misingi yake na muumini unapoenda dini fulani inabidi uendane na instruction za dini husika.

Lakini hiyo clip hoja ilivonivuta mimi ni moja ya arabic language. Je unaona changamoto za lugha ya kiarabu kwa waumini wa kiislamu?
Sura ya kwanza kabisa aliyofundishwa mtume ni kusoma kiukweli kiarabu ni changamoto kwa asietaka kusoma kwasababu ndio lugha mama ya kitabu tunachotumia lakini sio kubwa sana kwakua kuna tafsiri hivyo utahitajika kujua idea at least na lugha nyepesi pia kujifunza kwani maneno mengi pia ni ya kiswahili
 
Kweli.

Lakini kitendo cha kuwepo kwa crusades na caliphate kunathibitisha kwamba ukristo na uislamu vyote vina kasoro.

Haiwezekani unaabudu mungu mwenye upendo halafu anakutuma uue maelfu ya watu, anakutuma ushikilie mamalaka ya dunia wewe peke yako.

Hizi dini zenu ni vyama vya siasa tu, nothing more, nothing less.
Ukristu unasema kuua ni dhambi na ndiyo maana tuna agano jipya.
ila je ukishambuliwa utakaa kimya?
 
Mkuu, nami nilikuwa nawaza kwamba huo mwito wa ibada (wazana) hauna tafsiri kwa lugha zingine? Nilitamani sana tuusikie kwa lugha zingine kama "kindengereko " ingikuwa poa sana.
Ni kuitana kwenda kumuabudu Mungu Allah ndio point nzima lakini ati inasomwa Kiarabu.
 
Back
Top Bottom