Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Tatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe
Kitendo tu cha kuhalalisha kiarabu iwe lugha pekee ya kuongea na alaa hiyo ni dosari
 
Hakuna dini isiyo na kasoro, hii haimaanishi kwamba dini zinakosea, lahasha, ni sifa kuu ya dini. Zina muegemeo wa tamaduni zilipotungwa.

Huko kwenyewe anakoenda atalazimishwa kufuata utamaduni flani.

Ninachoelewa hapa ni kwamba jamaa anapingana na waarabu kwa sababu flani, katumia kigezo cha dini.
 
Huwezi kua na akili timamu ukawa muislamu, hakuna.

Uislamu ungetenga na uarabu angalau ungesimama kama dini lakini sasa ni utamaduni wa uarabuni ambao umejifunika kwenye ngozi ya dini. Dini gani Mungu wao anasikia kiarabu tu, ukimuomba kwa lugha nyingine hasikii na wala haelewi?Huyo mungu ana kibwengo?

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine. Mungu hayupo.
 
Tatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe
Yes, mkuu wewe umekua wazi kwa mjadala. Dini yeyote ile ina misingi yake na muumini unapoenda dini fulani inabidi uendane na instruction za dini husika.

Lakini hiyo clip hoja ilivonivuta mimi ni moja ya arabic language. Je unaona changamoto za lugha ya kiarabu kwa waumini wa kiislamu?
 
Huwezi kua na akili timamu ukawa muislamu, hakuna.

Uislamu ungetenga na uarabu angalau ungesimama kama dini lakini sasa ni utamaduni wa uarabuni ambao umejifunika kwenye ngozi ya dini. Dini gani Mungu wao anasikia kiarabu tu, ukimuomba kwa lugha nyingine hasikii na wala haelewi?Huyo mungu ana kibwengo?

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine. Mungu hayupo.
Vipi kiyahudi mkuu?
 
Kumbe ni vikundi tu?

Wale ambao nchi nzima ni magaidi ambazo sio Waislam, unawaongeleaje?
Kuna Waislam wacha Mungu, kama walivyo wakristo. Waislam hao na wakristo wa namna hiyo, hata wakiishi pamoja, amani na upendo hutawala. Lakini kuna matapeli wa dini ndani ya uislam, kama walivyo pia baadhi ndani ya ukristo.

Siku ile hutaulizwa ulikuwa dini gani bali ulifanya nini kwaajili ya jirani yako. Je, ulieneza upendo na amani, ambao ndio ujumbe wa MUNGU, au ulieneza chuki na uadui?

Kutamka sana Allah, Mungu, Yesu au Mohamad hakuna msaada katika kuufikia ufalme wa BWANA, bali upendo wetu wa dhati kwa Mungu na wanadamu wenzetu.

"Si kila asemaye BWANA BWANA atauona ufalme wa mbingu, bali wale wanaotimiza mapenzi ya Baba yangu. Mimi ndimi njia na uzima, mtu hafiki kwa Baba bali kwa kupitia mimi. Mimi ni ndani ya BABA na BABA yu ndani yangu. Ukiniona mimi umemwona BABA". Tumwombe yeye aliye njia ili atusaidie kupita kwenye njia yake ili tumfikie BABA.
 
Back
Top Bottom