Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Kitendo tu cha kuhalalisha kiarabu iwe lugha pekee ya kuongea na alaa hiyo ni dosariTatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe