Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Bro; unafahamu hayo mavazi yameanza kuvaliwa mashariki ya kati kabla hata Quran haijulikani ndio kitu gani duniani? Hayo ni mavazi ya mashariki ya kati; Waarabu na Wayahudi wamekua wakivaa hivo kabla ya Ukristo na Uislam
Uislam unajua ulianza lini?.. waarabu walikua waenda uchi, Quran ikawaambia wavae hijab
 
Mkuu; mbona huelewi? Hijabu na kanzu waarabu na Wayahudi wameanza kuvaa kabla ya uislamu haujaanza. Hayo ni mavazi ni ya utamaduni wa mashariki ya kati miaka na miaka. Quran ime copy na ku paste utamaduni wa mashariki ya kati. Kwani hata lile jiwe ambalo hua waislamu wanakwendaga kulizunguka Makkah, mbona huo nao ulikua moja ya tamaduni zao kabla ya Uislam bro! Soma historia ya Waarabu.
 
And tell the believing women to lower their gaze and guard their chastity, and not to reveal their adornments1 except what normally appears.2 Let them draw their veils over their chests, and not reveal their ˹hidden˺ adornments3 except to their husbands, their fathers, their fathers-in-law, their sons, their stepsons, their brothers, their brothers’ sons or sisters’ sons, their fellow women, those ˹bondwomen˺ in their possession, male attendants with no desire, or children who are still unaware of women’s nakedness. Let them not stomp their feet, drawing attention to their hidden adornments. Turn to Allah in repentance all together, O believers, so that you may be successful

Quran 24:31

Their prayer at the Sacred House was nothing but whistling and clapping. So taste the punishment for your disbelief.

Quran 8:31

Wewe ya makafiri wenzio kuzunguka kaabah umeitoa wapi?
 
Copied from Arabic culture; walivaa hijabu kwasababu ya VUMBI la jangwani, wakati huo hakuna kitu kinaitwa Uislam dunianj bro
 
Si kweli kwamba Kiarabu ndio lugha pekee ya kuongea Na Allah. Allah utaongea nae kwa lugha yeyote ile. Hio kiarabu ni kwajili ya umoja kwamba tumeumbwa kwa lugha tofauti hivyo tukikutana pale kwa mfano Maka kuhiji kila mtu aongee kilugha chake utakua sio ustaarabu hivyo ibada inaendeshwa kwa kiarabu tena muhimu ni ile sura ya kwanza kimpangilio katika Quran Al fatihah ambayo kila muislam anaijua hata iweje lazima kwakweli Mungu alliturahisishia hio sura alhamdulillah.
Baada ya swala maombi yote uombe kwa lugha inayotaka wewe
Ona huyu,kwa hiyo wanaoenda Mecca wasiokuwa waarabu wanaongea kiarabu fluently na waarabu au kile cha madrasa cha kukariri?
 
Hiyo Mdengeleko anayejiona Mwarabu ni Mtu wa kuhurumiwa.
 
Lakini ukiangalia vizuri ana Point, Waafrika wanaitana kwenda kuswali Misikitini kwa lugha ya Kiarabu Azana.
Kwa hio zile kengele mnazopigiwa jpil ndio mnajiona wastarab au
Yaani mnaona wanaotumia sauti kuita watu kwenye ibada wanakosea
Nyie wa kengele mko swafii
 
Kutumia kengele kuita binadamu mwenzako ni moja ya Kati ya vitu vya hovyooo
 
Kwa hio zile kengele mnazopigiwa jpil ndio mnajiona wastarab au
Yaani mnaona wanaotumia sauti kuita watu kwenye ibada wanakosea
Nyie wa kengele mko swafii
Kengele haiongei Lugha.
 
young-african-muslim-girl-in-kenya-standing-in-front-of-a-mud-hut-BMKBM0.jpg

Arabization. Uislamu unatumika kusambaza Utamaduni wa Kiarabu kusini mwa Jangwa la Sahara.
 
young-muslim-girl-of-the-wala-ethnic-group-ghana-DGMK07.jpg

Huyu haja Arabishwa.
gadis-kecil-muslim-di-sekolah.jpg

Huyu ame arabishwa akiwa bado mdogo sana.
 
Maadamu malengo ya kusali ni kumuabudu MUNGU NGAI sisi Waafrika tutumie Lugha zetu.

Hata Waturuki wameoindoa Lugha ya Kiarabu kwenye Shule zao ili kuepukana na Arabization.

Kiarabu na uislamu huwezi ukatenganisha, peponi lugha itakayozungumzwa ni kiarabu, na sio kichina, kiswahili au kiingereza n.k. sema watu kama wewe huwezi elewa
 
Back
Top Bottom