Dr. Vedasto Kyaruzi daktari mpigania uhuru wa Tanganyika

Ungekuwa hupati ilm kwenye hivyo vitabu usigeviweka urembo. Na ingekuwa hupati ilm kutoka kwa Mohamed Said usingetembelea nyuzi zinazomuhusu.

Ulimjuwa Mshume Kiyate wewe kabla ya kumsoma Mohamed Said?
Kwa hiyo kwa akili yako ya kibimkubwa unadhani Mshume Kiyate alikuwa anafahamika na huyo afriti wako Mohamed Saidi peke yake?
 
Jaribu kuepuka "generalization theory", sijui kama unafahamu moja ya safari ya Nyerere kwenda UNO katika harakati za kudai uhuru iligharimiwa na mapadre wa katoliki?

Gwalihenzi,
Maryknoll walimasidia Nyerere safari ya pili ya UNO hii ni kweli kabisa.

Lakini ukitaka kueleza historia ya safari ya Nyerere ya UNO Maryknoll wataingia mwisho kabisa.

Soma hapa chini mchango wa Idd Faiz Mafongo Mwekahazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya
katika safari ya Nyerere UNO.

Huyu Idd Faiz Mafongo alitoa fedha katika hazina ya Al Jamiatul Islamiyya kufanikisha safari hii:

The journey to Tanga was uneventful but on the return leg the bus on which Idd Faiz was
travelling was waylaid by the Special Branch at Turiani.

Idd Faiz was arrested, stripped naked and searched, but no money was found on him.

This baffled the Special Branch arresting officer because they had information that Idd Faiz
had actually picked up the money from Mwalimu Kihere in Tanga.

Idd Faiz was therefore taken to Dar es Salaam under armed escort for interrogation and was
later released.

The money for Nyerere's trip to New York reached Dar es Salaam TANU headquarters safely.

The money was carried by a young girl who was a passenger on the bus.

On 17 th February, 1955 Nyerere left for New York to address the Trusteeship Council of
the United Nations.

Gwalihenzi,
Nadhani umeona tofauti kati ya uchangiaji wa Maryknoll na uchangiaji wa wazee wetu.

Je historia hii tukiieleza tutakuwa tunasimanga?
Ukipenda nifahamishe nikupe kisa cha Rashid Ali Meli kuhusu safari hii ya UNO.

Ni kisa cha kusisimua na kuonyesha uzalendo wa wazee wetu katika kupambana na ukoloni.

Ndio mambo ninayo yasema hapa, revisit nilicho andika - how do you mean "generalization theory, if I may ask" theory ninazo zijua mimi ni za Darwin i.e za kisayansi, hii ya kwako ni mpya kwangu! Back 2 the point - Wewe unajua Babu yake Balozi Khamisi Kagasheki na wenzake walichangia kiasi gani cha fedha kumuwezesha kambarage asafiri kwenda UN? Je raia wengine kamchape/masikini wa vijijini walitoa mchango gani? Why pick on one religious sect wakati walio husika na michango hiyo walikuwa ni wengi tu. Kutoa ni moyo sio utajiri, na wenzetu walikuwa wanajitolea kwa mambo mengi tu, mengine hatuyasemi hapa. Wewe umewahi hata siku moja kujiuliza/kudadisi nani aliandika speech ambayo Kambarage alikwenda kuisoma UN, Je suala hilo liliwahi kuwekwa wazi kwa Watanzania walio wengi? Je, mambo yalikuwa shwali kweli kuhusu nani alipashwa kwenda kutoa speech hiyo UN - kama kulikuwepo kutoelewana kidogo, nini kilikuwa chanzo chake na kwa nini?? Mkuu hatuzungumzi mambo ya kubuni humu, kinacho takikana ni kuwekana sawa ili kila raia aliye jitolea katika harakati za kudai uhuru athaminiwe bila ya kujali kama aliwahi kwenda shule au la, kama alikuwa Mkristo, Mwisilamu au pagani cha muhimu hapa tuthamini mchango wao na tuwa enzi sio kuleta ushindani/ushabeki usio na mantiki.
 
Mkuu, naona unajaa mapovu bure bila sababu! kama unadhani "theory" ni zile za Darwin tu, basi nina wasiwasi na shule yako, na kwa hiyo nakupa pole sana! Pili haya unayoyajadili hapa sio mapya, yamewahi jadiliwa sana kwenye hili jukwaa! Hapo kwenye Red ndio mambo ambayo huyo shujaa wako Mohamed Said amekuwa akiambiwa kila alipokuja na hoja zake za kidini.
 
Gwalihenzi,
Maryknoll walimasidia Nyerere safari ya pili ya UNO hii ni kweli kabisa.

Lakini ukitaka kueleza historia ya safari ya Nyerere ya UNO Maryknoll wataingia mwisho kabisa.

Soma hapa chini mchango wa Idd Faiz Mafongo Mwekahazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya
katika safari ya Nyerere UNO.

Huyu Idd Faiz Mafongo alitoa fedha katika hazina ya Al Jamiatul Islamiyya kufanikisha safari hii:

The journey to Tanga was uneventful but on the return leg the bus on which Idd Faiz was
travelling was waylaid by the Special Branch at Turiani.

Idd Faiz was arrested, stripped naked and searched, but no money was found on him.

This baffled the Special Branch arresting officer because they had information that Idd Faiz
had actually picked up the money from Mwalimu Kihere in Tanga.

Idd Faiz was therefore taken to Dar es Salaam under armed escort for interrogation and was
later released.

The money for Nyerere's trip to New York reached Dar es Salaam TANU headquarters safely.

The money was carried by a young girl who was a passenger on the bus.

On 17 th February, 1955 Nyerere left for New York to address the Trusteeship Council of
the United Nations.

Gwalihenzi,
Nadhani umeona tofauti kati ya uchangiaji wa Maryknoll na uchangiaji wa wazee wetu.

Je historia hii tukiieleza tutakuwa tunasimanga?
Ukipenda nifahamishe nikupe kisa cha Rashid Ali Meli kuhusu safari hii ya UNO.

Ni kisa cha kusisimua na kuonyesha uzalendo wa wazee wetu katika kupambana na ukoloni.

Mohamed Said, sijakiona kipya hapa. Labda wageni wa mtazamo wako wataona haya ni mapya. Kwangu mimi naona tunachoshana tu!
 
Huwezi kuona kitu kwasababu unatazama mambo kwa jicho moja kama fundi saa!

Ulamaa Boko Haram,

Kama kawaida yako,naona umemganda kama luba huyo mpinzani wako wa jadi Gwalihenzi...

Yaani humwachi akapumua,kila akigeuka tu unamshindilia "jiti la roho"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Shukran Al Akhiy,nakutakia w'end njema.

Ahsanta.
 
Mohamed Said, sijakiona kipya hapa. Labda wageni wa mtazamo wako wataona haya ni mapya. Kwangu mimi naona tunachoshana tu!

Gwalihenzi,
Yapo mengi mapya mojawapo hili la Maryknoll.

Wanachangia TANU 1956 kutoka New York.
Taasisi hii ni ya Kanisa Katoliki tajiri sana.

Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika inachangia kutoka Tanganyika.
Ni taasisi ya Waislam masikini sana.

Wazee wetu wanachangishana sumni sumni nyumba kwa nyumba wanapita
TANU Youth League na magwanda ya kijani kuchangisha fedha za kumpeleka
Nyerere UNO.

Hakuna jipya hapa?
 
Mohamed Said, ni lini utaanza kufikiri kama mtanzania mwenye nia nzuri na Tanzania? Kwani uliambiwa michango ya wapigania uhuru ni lazima iwe ya kiwango sawa?Akili yako imejaa uchochezi, fitina na hila kwa malengo mabaya sana! Ungelikuwa kijana wa miaka 25, tungejuta sana kuwa na mtu wa aina yako!
 
Ulamaa Boko Haram,

Kama kawaida yako,naona umemganda kama luba huyo mpinzani wako wa jadi Gwalihenzi...

Yaani humwachi akapumua,kila akigeuka tu unamshindilia "jiti la roho"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Shukran Al Akhiy,nakutakia w'end njema.

Ahsanta.
Mtatajana sana kwa majina ya kilimbukeni huku mkidhani mungu wenu aliyeduni na mbaguzi atawasaidia! lakini ukweli utabakia kuwa 'your personified god who is more stupid than you can imegine' hata weza kuwagawa watanzania kwa misingi ya imani zenu!
 
Mohamed Said, ni lini utaanza kufikiri kama mtanzania mwenye nia nzuri na Tanzania? Kwani uliambiwa michango ya wapigania uhuru ni lazima iwe ya kiwango sawa?Akili yako imejaa uchochezi, fitina na hila kwa malengo mabaya sana! Ungelikuwa kijana wa miaka 25, tungejuta sana kuwa na mtu wa aina yako!

Gwalihenzi,
Mimi ni mzalendo tena nimetoka katika mifupa ya wazalendo waliopigania
uhuru wa nchi hii.

Nadhani unaujua mchango wa babu yangu Salum Abdallah kuanzia 1947
hadi 1964 alipowekwa kizuizini akiwa mmoja wa viongozi wa vyama vya
wafanyakazi.

Mimi naihifadhi historia ya kweli ya nchi yangu isipotoshwe.

Ikiwa hilo linakutoa raha ni bahati mbaya sana kwani mabingwa wa historia
ya Afrika wanathamini sana mchango wangu.
 
Hii ndio sababu inayokufanya umchukie Nyerere kwa mwamvuli wa uislam!
 
Kwa hiyo kwa akili yako ya kibimkubwa unadhani Mshume Kiyate alikuwa anafahamika na huyo afriti wako Mohamed Saidi peke yake?

Yeye ndiye wa kwanza kumuandika katika historia ya Tanganyika., "thus, originality".

Jee, wewe ulimsoma wapi kabla ya kumsoma kwa Mohamed Said? au wale makhabith wazee wako waliwahi kukuhadithia?
 
Mtatajana sana kwa majina ya kilimbukeni huku mkidhani mungu wenu aliyeduni na mbaguzi atawasaidia! lakini ukweli utabakia kuwa 'your personified god who is more stupid than you can imegine' hata weza kuwagawa watanzania kwa misingi ya imani zenu!

Kwi kwi kwi teh teh teh teh.

Kimungu mtu? au baba? au mwana? au roho mtakatifu?

Hapo sasa!
 
kemcho mr MS A.K.A M GOAT kuna sual nilikuwa nataka kufahamu jee katika kupigania uhuru kulikuwa na mashujaa wowote wenye asili ya kihindi au walikuwa wanatumia golo peke yake
(yule jamaa asie na dini then kavaa msalaba anatumia jicho moja kama fundi saa anapapatika sana cc:boko haam)
 
Hasanali,
Tuanze na Patwa.
Nakuwekea hapa habari zake kama nilivyomwandika katika kitabu changu:

[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]On 23 rd October, the nucleus of TANU membership in Tanga met to elect
its first leadership.

Hamis Heri was elected chairman and Peter Mhando secretary.

A total of forty-five people attended the meeting and TANU cards were
issued to them.

Mwalimu Kihere attended this meeting but was not given any role to play in
TANU.

A members' committee was formed out of the eleven founding members who
met in the first meeting the previous month.

The committee was made up ofthe following: Abdallah Rashid Sembe, Mohamed
Kajembe, Victor Mkello, Dhili Mgunya, Ali Mohamed, Abdallah Mohamed and Mohamed
Sadik.

Peter Mhando offered his house as the first TANU branch office in Tanga.

Soon after this meeting the elders in Tanga, led by Makoko Rashid, a former TAA
member, began to campaign for the new political party.

TANU received another boost when the rich Asian Sadik Ali Patwa joined the Party.

Patwa was a Shia Muslim who immigrated to Tanganyika from Zanzibar and
settled in Tanga in 1918 just at the end of the First World War.

Patwa established a soda factory and prospered.

At that time during colonialism, when his fellow Asians who formed the powerful
commercial class in Tanganyikawere looked down upon Africans, Patwa sat,
shared and sipped coffee with Africans of his age while his sons were making
the first eleven of the local African football clubs.

This was a very rare occasion and an unusual gesture to come from an Asian family.

Patwa supported the independence movement financially and morally, and campaigned
for TANU among his own Asian community.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]During the struggle Nyerere used to joke with Patwa, telling him, "Mzee Patwa, after
independence I think we should appoint you our High Commissioner to India."

But Patwa never saw free Tanganyika; he died before independence was achieved.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom