Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar🥺🥺🙇🏿♂🙇🏿♂Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu.
Source:
View: https://m.youtube.com/watch?v=SeRWg75qAM8
Biblia inamhusu nini huyo mchochezi wa kimataifa? Afanye kama viongozi wa kikristu wakija bongo wao wanahubiri dini Yao tuu na Hawana muda wa kuchambua Imani za watu wengine. Huyo ni akina mazinge tuu ila uzuri wake mada zake ndio zile zile zimepitwa na wakati na anatumia nguvu ya hadhira kumkatisha muuliza maswali magumu na kujigamba mara yeye ni medical doctor mambo yasiyokuwa na msingiDr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu.
Source:
View: https://m.youtube.com/watch?v=SeRWg75qAM8
Huyu ni.mshenzi kama washenzi wenzake wavaa makobaziAhubiri uislam wake, aachane na Biblia atapotosha maandiko
Relax mkuu, jamhuri ya muungano ni pambo tu siku hizi.Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar🥺🥺🙇🏿♂🙇🏿♂
Wateule kama Wateule WatukufuDr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar🥺🥺🙇🏿♂🙇🏿♂
Quran imemuongelea Issa bin maryam na si Jesus of Nazareth na pia bible imemuongelea yule nabii kanjanja kama nabii wa uongo!Hapa Tanzania hamna Mklokole wakiujitokeza kabisa wengi wana fuata hiyo dini bila ushahidi wama andishi ni mbumbumbu.