Dr. Zakir Naik awasili Zanzibar, afafanua kuhusu mhadhara atakaofanya, asema hakuna utata kwa wale wanayoyajua maandiko

Dr. Zakir Naik awasili Zanzibar, afafanua kuhusu mhadhara atakaofanya, asema hakuna utata kwa wale wanayoyajua maandiko

Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu.

Source:

View: https://m.youtube.com/watch?v=SeRWg75qAM8

Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar🥺🥺🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂
 
Waislam wanasema injili tunayotumia ni mbovu haifai. Hapohapo wanaamini katika injili kitabu cha Mwenyezi Mungu kilikuwepo wakati wa Mohammad na Waraqa.

Sasa huyu msomi atatumia injili zetu wanazoziponda zinazomsema Yesu ni Mungu au anakuja na kile kitabu orgin cha injili iliyozungumziwa kwenye Quran.

Hapo ndio ujanjaujanja huwa unaanzia.
 
Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu.

Source:

View: https://m.youtube.com/watch?v=SeRWg75qAM8

Biblia inamhusu nini huyo mchochezi wa kimataifa? Afanye kama viongozi wa kikristu wakija bongo wao wanahubiri dini Yao tuu na Hawana muda wa kuchambua Imani za watu wengine. Huyo ni akina mazinge tuu ila uzuri wake mada zake ndio zile zile zimepitwa na wakati na anatumia nguvu ya hadhira kumkatisha muuliza maswali magumu na kujigamba mara yeye ni medical doctor mambo yasiyokuwa na msingi
 
Wewe Muislamu Mambo ya yesu yanakuhusu nn? Dummy head Poor you Ndevu kama fagio
 
TANGAZO

AZAM MEDIA LTD PAMOJA NA THE ISLAMIC FOUNDATION …

UJIO WA DR ZAKIR NAIK TANZANIA - RATIBA YAKE YOTE

View: https://m.youtube.com/watch?v=PLO0zcQm7ok

KWA MARA YA KWANZA TANZANIA WANAKULETEA MHADHIRI MASHUHURI WA KIMATAIFA , DKT ZAKIR NAIK AKIAMBATANA NA MWANAE SHEIKH FARIQ NAIK KATIKA MDAHALO WA MASWALI NA MAJIBU :

TAREHE 31/12/2024 MSIKITI ZINJIBAR, UNGUJA ZANZIBAR KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA

TAREHE 2/01/2025 DIAMOND JUBILEE DAM KUANZIA SAA 1 USIKU HADI SAA 6 USIKU

TAREHE 5/01/2025 BENJAMIN MKAPA STADIUM UWANJA WA TAIFA KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA

MATANGAZO HAYA YATAKUJIA LIVE - MUBASHARA KUPITIA CHANEL YA ZBC2 WEMA UNAOENDELEA

SOURCE : DUA TV
 
Baada ya kualika wataalamu wa masuala mbali mbali ya kijamii, kisayansi na kiuchumi kuja kutoa mawazo na fikra chanya.....
 
Back
Top Bottom