Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Katika kupima kipaji cha mtu watu hawaangalii kipaji chako bali watakuhukumu kwa matokeo yake unayatoa wengi wana vipaji lakini matokeo zero unadhani messi au ronaldo wana uwezo mkubwa kushinda gaucho na zidane hapana ila messi na ronaldo wameleta matokeo ambayo ni magumu kutokea that's why wanaonekana bora kwa kizazi hikiKwangu mm ni tofauti kabisa Sisco wakati anaingia Kwa watu huru bingwa ni noel..
Ila kma unavyomjua nduli Kuna kipindi hataki mechi kabisa analitema draft, noel nae akienda njombe anakua mnyonge akirud dar..
Sisco ni mchezaji anaepoteza mda kweny madanali yani asubui adi usiku akibadilisha pool kidgo..
Kwaiyo mara nyingi Sisco anawasaidia kina noel, nduli kuwapa current copy..
Ila kiukwel bingwa wa draft Tanzania bila kumeza macopy kusumbuka,,yani akili nyingi ni NOEL NAMALOE a very big talented guy..sema ndo nae anapata shida mpka arudi dar kula copy kidgo kino..
Hivyo current form ya matokeo ya miaka hivi karibuni kwa watu huru inambeba zaidi Sisqo kushinda Noel hivyo Noel kama ana kipaji kushinda Sisqo athibitishe katika mashindano makubwa kwa kuwa bingwa lakini sio huko vijiweni kwenu mkiwa mnawaangalia Sisqo ni top kwa now kwa watu huru