DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Itoshe kusema huyo Mkulima ni mwalimu na fundi kwa hapa Tanzania.. Ebu anzisheni la East Afrika apambane na mabingwa wa kwa majirani tuone
Tatizo lake mkulima hajulikani kumpata ana kwa ana ngumu yeye ni online hapo ndipo watu wanapata mashaka na huyu mtu
 
Nazani hukunielewa..wakati sisqo anajoin na kina nduli na noel,,bingwa alikua ni mzee noel nazani apo utakubali kwanza..
Pili kusema kutumia akili nyingi hii haipingiki man,, nenda manyanya buni mchezo wako wa style yoyote lazima atafutwe noel au mangwez(sema Sasa hachez mno),, mfano bingwa sijui atoke kigoma atake french utaruka na noel atakuua..cjui Kuna mwana alikuja akacombine french na Chinese noel alimpiga vbaya mno..jamaa anatumia sana akili ila draft inabidi uchukue muda kula copy na mazoezi,,

Kama ushawai sikia Kuna bingwa wa french alikuja manyanya akafunga matura akapiga ela adi sisco..alivyoitwa noel alimpiga jamaa adi akaweka bond simu,,akivuka barabara upande wa pili alikua anapepesuka kama kalewa afu noel amekaa lile lile pozi lake la Kila siku kama boya ivi
 
nimekupata je noel kaanza kutambulika kama bingwa mwaka gani mfano sisqo naona mwaka jana na huu
 
EXCLUSIVE

Timu: Dogo Sisco Vs Cr7 Mnyama ( Confirmed )

Mdhamini: Boss Java

Zawadi: 300,000/= (winner 200k na Looser 100k )

Lini: Jumapili tarehe 15 January 2023 Saa tisa kamili jioni

Wapi: JAVA FAMILY LOUNGE ( Kitunda )

Mfumo: Ngoma 24 - Omary John + tege kumi za mzee Ngapu

Mratibu: Masta Mtemi (15,000)

Photographer : Masta Mtemi

Kamisaa: Fidelis (10,000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila kutakuwa na nauli ya shilingi laki moja kwa atakaefungwa kama Kifuta jasho na endapo mechi itaisha sare hawa jamaa watapewa laki na ishirini kila mmoja

Tajiri Mkubwa JAVA amesema wacha kiwake,, Wazaramo wanasema hawana ulimbo wa kutegela Ng'onzi,, na Waswahili wanasema asie na mwana aeleke Jiwe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Mama Mkanye Mwanao
 
Mzee noel ni bingwa mda mrefu sana.. Sisco ni mkubwa Kwa madanali ila ubingwa wa kitaifa ni kuanzia apo 21 ndo jina limekua kubwa ila mzee noel ni wa mda mrefu mno
hapo sawa ingawa nilitamani kujua mwka gani alivyoanza kutambuka bingwa kama vile sisqo 2021
 
[emoji91][emoji91]... TAARIFA KUTOKA ANDROMEDA GALAXY ...[emoji91][emoji91]




MKULIMA [emoji89] anaujumbe Mzito kwenu




Jumapili 8-1-2023. Kilifanyika kikao kizito ANDROMEDA GALAXY, kilicho hudhuriwa na wajumbe kadhaa kutoka BLACK EYED GALAXY ambako huko ndio asili na Makazi ya MKULIMA[emoji89]



Baada ya Masaa kadhaa ya majadiliano ya kilichotokea... Kikao kilikuja na maafikiano kadhaa ambayo ni Ujumbe mzito kwenye sayari hii....!!!

1} RONALDO ameingia kwenye record ya kuwa Binadamu wa kwanza aliyeweza kuzuia sare michezo 24, Tunampongeza kwa hiyo.

2} Huyo RONALDO ndie atakuwa Binaadamu wa KWANZA na WA MWISHO kuzuia sare TENA katika michezo 24 [emoji89]




KWAKUHITIMISHA HAYO TUNA UJUMBE KWENU

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

MKULIMA [emoji89] AOMBA MECHI YA MARUDIANO NA RONALDO.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]




MKULIMA [emoji89] ACHAFUKWA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
EXCLUSIVE


Timu: Cr7 Vs Dogo Ally( confirmed )


Mdhamini: Shabani Sululu


Zawadi: 50,000/= (winner 40k na Looser 10k )


Lini: Jumatatu tarehe 9 January 2023 Saa tisa Alasiri



Wapi: Kimara Matosa


Mfumo: Ngoma 24 - Omary John + tege kumi za mzee Ngapu


Mratibu: Iddy Surambaya



Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila kutakuwa na nauli ya shilingi elf 10 kwa atakaefungwa



Boss Shabani ameamua kumkagua Cr7 kwa Dogo Ally ikumbukwe tu Cr7 ndie anaeng'aa kwa sasa baada ya kumzuia mkulima
 
Matokeo Kimara Matosa

Dogo Ally 2, Cr7 0


Cr7 amefungwa ngoma ya 14, na kavimba tege ya pili


Wapo tege ya pili
 
Matokeo Kimara Matosa

Dogo Ally 2, Cr7 1


Cr7 amefungwa ngoma ya 14, na kavimba tege ya pili


Wapo tege ya Mwishooooooooo,,,, Dogo Ally is the winner[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
EXCLUSIVE


Timu:bigwa wa dunia vs yassin Eagle [emoji1659] :(confirmed)


Mdhamini:kamanda Issa (raisi wa WATU HURU)


Zawadi:70000(winner 60k & loorse 10k)


Lini:juma tano tarehe.11/01/2023 saa 8 mchana


Wapi: Yombo arena [emoji91]


Mfumo michezo 14 Omary jonh na tege 10 za mzee ngapu


Mratibu dulla mabao.5k



Kamisaa: samweli.5k



Photography: master mkorea



Not: hakutokuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya shilingi elfu 10 kwa ambae atakae fungwa..ila hawa jamaa wakitoa sare michezo yote 24 basi watapewa elfu 20 kila mmoja kama kifuta jasho


Hayawi hayawi yamekuwa huyu anae jiita bingwa wa dunia ni miongoni mwa watu hatari sana kwenye draft anapiga mahesabu makali kweli kweli makosa kwake hakuna maana anahakikisha kete kama computer inavyo fanya uchanganuzi wake.je eagle ataweza kutoka salama kwa gwiji hili la karne kwenye history ya draft usikubali kuhadithiwa njoo Yombo arena [emoji91] ushuhudie vumbi litakapo timka.
 
mkulima kala mbegu antaka kutuua njaa mkulima huyu vipi mkulima ametokota ukipanda ubuyu utavuna ubuyu
 
kama dogo ally hivi je kwa sisco atatoka kweli
 
Hii gemu si ya kukosa😅
 
mkulima na nduli lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…