Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
- Thread starter
-
- #461
Sawa mkuuUkipata picha ya Mangwelele utasaidia sana
French ,walipocheza TZ rules ,michezo mitatu yote Sarewalicheza frenc au tz
Magwelele aliweka mikataba migumupicha ya samaki kivipi
Hivi french huwa ni ipi kati ya hizi chief.French ,walipocheza TZ rules ,michezo mitatu yote Sare
Picha ya samaki ni offer ya kitu ambacho huwezi kukipata kutokana na mkatabapicha ya samaki kivipi
dalmax anatisha hii copy dalamx anaijua mm nayo ila iyo misstep kuikariri kichefu chefu
Kumbe inawezekana na mm ngoja niimeze watu wanaangaika na copy ila mm miguu mingi naichukua dalmax kopy za mabingwa nazichukua ili nipate kujua watu wanachezaje ila dalmax ndio mwalimu wangu hii copy ya mabano mm ninayo kitambo niliichukuwa kwa dalmax ila kuikariri kimbembeMi nimemeza yoooteee
ila huyo jamaa atakuwa anabalaa duuPicha ya samaki ni offer ya kitu ambacho huwezi kukipata kutokana na mkataba
Mfano umuahidi Yanga milion 200 akimfunga PSG goli 3 bila
Yanga atabaki kuisikia tu hiyo hela lakini uwezo wa kuipata haupo
Hapo anakuwa anakula ugali na picha ya samaki anabaki kuiona tu pichani lakini haimsaidii chochote
Huyu ndio mkulima sasa kaamua kuwafata watu kwenye machimbo na atawaua sana nasikia yupo mwezi mzimzaFrench ,walipocheza TZ rules ,michezo mitatu yote Sare
kete ya kawaida inaweza kula mbele na nyuma tu. Na king pia inakula mbele na nyumaHivi french huwa ni ipi kati ya hizi chief.
1)Piece ya kawaida inaweza kula mbele na nyuma tu.
2)Piece ya kawaida inaweza kula mbele tu, mbele na nyuma inakula king pekee?
Kati ya hizo FRENC na hio ya kiTZ unayosemea ni ipi?
Kuna aina ya draft hairuhusu kete ya kawaida kula nyuma, swali langu ni hio aina ya draft ndio french au ya TZ?kete ya kawaida inaweza kula mbele na nyuma tu. Na king pia inakula mbele na nyuma
French ni aina ya draft ambayo kete ya kawaida inaweza kula kete ya nyuma yakeKuna aina ya draft hairuhusu kete ya kawaida kula nyuma, swali langu ni hio aina ya draft ndio french au ya TZ?
Swadakta...French ni aina ya draft ambayo kete ya kawaida inaweza kula kete ya nyuma yake
Tanzania tunafanana rules na American Checkers ambayo king inaweza ki move vyumba zaidi ya kimoja
Kwenye iPad niliwahi kupakua app ya checkers ambayo kwenye list za rules nilikuwa natumia spanish rules iliyokuwa inatumia rules hizi hizi tunazocheza hapa bongo
Lakini zipo apps zingine ambazo ukichagua hiyo spanish rules unaweza utakutana na drafti lenye sheria nyingine kabisa.
1. Checker la limarekani king anamove chumba kimoja kimoja. Haruki.French ni aina ya draft ambayo kete ya kawaida inaweza kula kete ya nyuma yake
Tanzania tunafanana rules na American Checkers ambayo king inaweza ki move vyumba zaidi ya kimoja
Kwenye iPad niliwahi kupakua app ya checkers ambayo kwenye list za rules nilikuwa natumia spanish rules iliyokuwa inatumia rules hizi hizi tunazocheza hapa bongo
Lakini zipo apps zingine ambazo ukichagua hiyo spanish rules unaweza utakutana na drafti lenye sheria nyingine kabisa.
Kweli mkuu uko sahihi nilisoma vibaya1. Checker la limarekani king anamove chumba kimoja kimoja. Haruki.
2. La kibritish, wanalocheza wenyewe waingereza ndilo hili huku tunaita Rrench, tumegeuza. So lile la nyuma na mbele ndilo British
3. French wanacheza na kete 20 kwa 20
4. Sisi letu ni la kipekee na sifa za pekee. Kidogo linafanana na Czech. Tofauti ni kuwa la Czech lazima king aanze kula kama kuna option ya kula kwa kete na king.
Duuuh sielewi kitu,ngoja nirudi kwa Liverpool yanguMATOKEO
MKULIMA vs SISCO
Michezo: Walitakiwa kucheza michezo 24- Yaani Omary John na tege kumi ,,, Lakini michezo iliyochezwa ni 15 tu Yaani Omary John na Tege moja ya Mzee Ngapu
MATOKEO: Mkulima 2, Sisco 0,,
Sisco amekuja kufa goli la kwanza kwenye Omary John ngoma ya 14 ambayo Sisco alianza Pasati na amekuja kufa Tege ya kwanza ambayo Mkulima ndie aliecheza tege na hapo ndipo Dogo Sisco alipotupa taulo na kulala Mbele
Naomba kuwasilisha,,,,,,
Nenda Playok chagua Russian Checkers fatilia game zao, ndo french inayochezwa tanzania hususani kanda ya ziwa..French ni aina ya draft ambayo kete ya kawaida inaweza kula kete ya nyuma yake
Tanzania tunafanana rules na American Checkers ambayo king inaweza ki move vyumba zaidi ya kimoja
Kwenye iPad niliwahi kupakua app ya checkers ambayo kwenye list za rules nilikuwa natumia spanish rules iliyokuwa inatumia rules hizi hizi tunazocheza hapa bongo
Lakini zipo apps zingine ambazo ukichagua hiyo spanish rules unaweza utakutana na drafti lenye sheria nyingine kabisa.
livapool ya wapi wakati Liverpool wenyewe mwaka huu tia maji tia majiDuuuh sielewi kitu,ngoja nirudi kwa Liverpool yangu
1. Checker la limarekani king anamove chumba kimoja kimoja. Haruki.
HapanaThe Game and History of Checkers
Checkers, also called Draughts in most countries, is almost as old as human history. Learn how to play checkers (the American version).www.thesprucecrafts.com
anasema king anaruka kwa american version