DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

French ,walipocheza TZ rules ,michezo mitatu yote Sare
Hivi french huwa ni ipi kati ya hizi chief.

1)Piece ya kawaida inaweza kula mbele na nyuma tu.

2)Piece ya kawaida inaweza kula mbele tu, mbele na nyuma inakula king pekee?

Kati ya hizo FRENC na hio ya kiTZ unayosemea ni ipi?
 
picha ya samaki kivipi
Picha ya samaki ni offer ya kitu ambacho huwezi kukipata kutokana na mkataba

Mfano umuahidi Yanga milion 200 akimfunga PSG goli 3 bila

Yanga atabaki kuisikia tu hiyo hela lakini uwezo wa kuipata haupo

Hapo anakuwa anakula ugali na picha ya samaki anabaki kuiona tu pichani lakini haimsaidii chochote
 
ila huyo jamaa atakuwa anabalaa duu
 
Hivi french huwa ni ipi kati ya hizi chief.

1)Piece ya kawaida inaweza kula mbele na nyuma tu.

2)Piece ya kawaida inaweza kula mbele tu, mbele na nyuma inakula king pekee?

Kati ya hizo FRENC na hio ya kiTZ unayosemea ni ipi?
kete ya kawaida inaweza kula mbele na nyuma tu. Na king pia inakula mbele na nyuma
 
Kuna aina ya draft hairuhusu kete ya kawaida kula nyuma, swali langu ni hio aina ya draft ndio french au ya TZ?
French ni aina ya draft ambayo kete ya kawaida inaweza kula kete ya nyuma yake

Tanzania tunafanana rules na American Checkers ambayo king inaweza ki move vyumba zaidi ya kimoja

Kwenye iPad niliwahi kupakua app ya checkers ambayo kwenye list za rules nilikuwa natumia spanish rules iliyokuwa inatumia rules hizi hizi tunazocheza hapa bongo

Lakini zipo apps zingine ambazo ukichagua hiyo spanish rules unaweza utakutana na drafti lenye sheria nyingine kabisa.
 
Swadakta...

Ww ndo umeelewa nnachouliza. Mie najua style hapa tz wanacheza aidha brazilian au spanish. Brazilian ndo hii kete ya kawaida inaweza kula mbele na nyuma, na spanish kete ya kawaida inakula mbele tu. Kwa aina zote king inakula mbele na nyuma na iinaweza move zaidi ya vyumba viwili kama viko wazi.

Sasa hio french wanayoongeleaga ndo sielewi, coz ukicheza na watu wa nje ukawaambia mcheze french basi sio kabisa hii inayoitwa french hapa tz. Mie najua french king bado inabanwa, kwa maana hairuki vyumba kama hizo brazilian na spanish nlizosema hapo juu.

kama unacheza kwenye apps pia utaelewa nnachosema kiurahisi zaidi
 
French ni aina ya draft ambayo kete ya kawaida inaweza kula kete ya nyuma yake

Tanzania tunafanana rules na American Checkers ambayo king inaweza ki move vyumba zaidi ya kimoja

Kwenye iPad niliwahi kupakua app ya checkers ambayo kwenye list za rules nilikuwa natumia spanish rules iliyokuwa inatumia rules hizi hizi tunazocheza hapa bongo

Lakini zipo apps zingine ambazo ukichagua hiyo spanish rules unaweza utakutana na drafti lenye sheria nyingine kabisa.
1. Checker la limarekani king anamove chumba kimoja kimoja. Haruki.
2. La kibritish, wanalocheza wenyewe waingereza ndilo hili huku tunaita Rrench, tumegeuza. So lile la nyuma na mbele ndilo British
3. French wanacheza na kete 20 kwa 20
4. Sisi letu ni la kipekee na sifa za pekee. Kidogo linafanana na Czech. Tofauti ni kuwa la Czech lazima king aanze kula kama kuna option ya kula kwa kete na king.
 
Kweli mkuu uko sahihi nilisoma vibaya

American checkers haina flying king
 
MATOKEO

MKULIMA
vs SISCO

Michezo: Walitakiwa kucheza michezo 24- Yaani Omary John na tege kumi ,,, Lakini michezo iliyochezwa ni 15 tu Yaani Omary John na Tege moja ya Mzee Ngapu

MATOKEO: Mkulima 2, Sisco 0,,

Sisco amekuja kufa goli la kwanza kwenye Omary John ngoma ya 14 ambayo Sisco alianza Pasati na amekuja kufa Tege ya kwanza ambayo Mkulima ndie aliecheza tege na hapo ndipo Dogo Sisco alipotupa taulo na kulala Mbele

Naomba kuwasilisha,,,,,,
Duuuh sielewi kitu,ngoja nirudi kwa Liverpool yangu
 
French ni aina ya draft ambayo kete ya kawaida inaweza kula kete ya nyuma yake

Tanzania tunafanana rules na American Checkers ambayo king inaweza ki move vyumba zaidi ya kimoja

Kwenye iPad niliwahi kupakua app ya checkers ambayo kwenye list za rules nilikuwa natumia spanish rules iliyokuwa inatumia rules hizi hizi tunazocheza hapa bongo

Lakini zipo apps zingine ambazo ukichagua hiyo spanish rules unaweza utakutana na drafti lenye sheria nyingine kabisa.
Nenda Playok chagua Russian Checkers fatilia game zao, ndo french inayochezwa tanzania hususani kanda ya ziwa..
 
Back
Top Bottom