DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Kina Sisco wanakuwa kimakundi kama Wolves wakaji jamaa yuko Solo

Jamaa inabidi atengeneze ushkaji na Mkulima
 
yaan Rafiki angu kwa tulipofika kwenye draft la karne hii hasa bongo ww inatakiwa uanze chekechekea maana hujui unachouliza ila kukusaidi draft letu la kibongo tunacheza copy na hizi copy ndio zinatengeneza michezo hivyo ukitaka kujua tafuta mtu akufundishe copy na baadhi ya copy zinazoanza kete hiyo uliosema ya major ni pandu samba na nyingine
 
Kina Sisco wanakuwa kimakundi kama Wolves wakaji jamaa yuko Solo

Jamaa inabidi atengeneze ushkaji na Mkulima
inatakiwa Ronaldo atengeneze makundi maana hapambani na sisco au nduli au noel bali anapambana na kundi la watu huru sasa kama ndio hivyo ili kuendana nao nae atengeneze makundi asipofnya hivyo hawezi kushindanana na kundi na ww ukiwa peke yako
 
Ndo najifunza mzee.
Huku nilipo sioni hata wa kunifundisha, wote viwango vya kawaida sana
 
inatakiwa Ronaldo atengeneze makundi maana hapambani na sisco au nduli au noel bali anapambana na kundi la watu huru sasa kama ndio hivyo ili kuendana nao nae atengeneze makundi asipofnya hivyo hawezi kushindanana na kundi na ww ukiwa peke
Swali wakiwa wanacheza huyo mwenye kundi anaruhusiwa kuoneshwa na wanakikundi kama sio faida yake ni ipi
 
Swali wakiwa wanacheza huyo mwenye kundi anaruhusiwa kuoneshwa na wanakikundi kama sio faida yake ni ipi
Draft ni mchezo wa mtu mmoja kuwa makundi faida yake wanapata muda wa kudiscuss kwa maana wapo kule watu wa 3 wanaojua hivyo wanashare idea kule kuna noel huyu mtu hatari na bingwa
na pia kuna nduli huyu bingwa na kuna sisco mwenyewe nae bingwa embu angalia hapo imagine sisco Angekuwa peke yake na Noel peke yake na nduli peke yake hawapo pamoja unadhani ingekuwaje au ronaldo Angekuwa labda yupo kundi moja n
kule na sisco Angekuwa peke yake unadhani sisco angekuwa hapo alipo?
 
Unapocheza unaruhusiwa kuoneshwa na wenzako unaounda kundi moja?
 
Unapocheza unaruhusiwa kuoneshwa na wenzako unaounda kundi moja?
Mzee iko hivi, wanapokua wanacheza kwa mfano Sisco na ronaldo, wale mabingwa waliko nje wanakua wanafatilia mchezo wote na wanameza draft zima wanakua na mda mzuri wa kuusoma mchezo wenu wote wawili wanaona umekosea wapi na mpinzani wako kakosea wapi,

Hivyo wanapopata mapumziko wau wapo kwenye mazoezi wanaupanga lile game upya wanaanza kulichambua kete moja baada ya nyingine kama game ilikua droo wanatafuta kete ya kukufunga au kama ulishinda wanatafuta namna ya kulitoa sare.

Kwa maana hiyo Ronaldo michezo yake migumu inajalidiliwa na hao mabingwa watatu na kuitafutia ufumbuzi namna ya kumfunga, yeye hana timu hivyo michezo ya Sisco haichambui na mtu yoyote zaidi ya yeye mwenyewe ambapo ni ngumu kuipatia ufumbuzi..
 
Mm ni fan mkubwa wa Ronaldo..draft siku zote lipo hivyo la mabingwa discussion muhimu..na Ronaldo ana watu pia kina issa mamba..

Unakumbuka game ya issa na noel..noel akafa?? Ilikua mda kidgo issa alikua anatembea miguu ya cr7..

Ikajirudia fainali ya issa mamba na nduli je? Cr7 kashinda na issa mda mrefu mnoo,,ikabidi sisqo amfate nduli kumuambia uko wenzako wameunda kamati kabsaa,,na wao wakakaa chini(noel,nduli,sisqo) nduli akachukua ulikua mpunga mrefu mno ckumbuki exactly prize..
Kama ni makosa basi yalianza mda mrefu Kwa noel vs Ronaldo..
Ndio maana Kuna game nlishaielezea apo awali dau lilikua 600 nazan peak ya cr7 na peak ya noel..
Cr7 akaweka masharti kwamba kwenye iyo game nduli, sisqo wasiwepo..na noel akakataa kama hawatokuwepo sichezi..na game haikuchezwa..
All in all cr7 angekufa tuu Kwa sisqo nazani nilishasema pia..kama rematch itakuwepo sisqo atakufa 1-0,, I predict so ..
Aaron Arsenal Ww ni wa mda kweny madanali nazani izo game unazifahamu na fitina zake..
 
Umesahau labda shee, samba kwenye draft, inaanzia kushoto kete mbili za kwanza kwenye major ndogo,

Ila draft limenikunbusha mbali kidogo,

Enzi nikiwa A level nikiwa na mkali wao! moody A.K.A ( Proffessor Jicho Kali!)

Ndio alikuwa Bingwa wa copy miaka ilee maeneo ya banana uk.

Namiss sana hizi vitu kutokana na majukumu....kuzuia sare kwake ilikuwa ni mziki Mzee...
 
ili ucheze samba kete gani ya kwanza unaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…