Mzee iko hivi, wanapokua wanacheza kwa mfano Sisco na ronaldo, wale mabingwa waliko nje wanakua wanafatilia mchezo wote na wanameza draft zima wanakua na mda mzuri wa kuusoma mchezo wenu wote wawili wanaona umekosea wapi na mpinzani wako kakosea wapi,
Hivyo wanapopata mapumziko wau wapo kwenye mazoezi wanaupanga lile game upya wanaanza kulichambua kete moja baada ya nyingine kama game ilikua droo wanatafuta kete ya kukufunga au kama ulishinda wanatafuta namna ya kulitoa sare.
Kwa maana hiyo Ronaldo michezo yake migumu inajalidiliwa na hao mabingwa watatu na kuitafutia ufumbuzi namna ya kumfunga, yeye hana timu hivyo michezo ya Sisco haichambui na mtu yoyote zaidi ya yeye mwenyewe ambapo ni ngumu kuipatia ufumbuzi..
Mm ni fan mkubwa wa Ronaldo..draft siku zote lipo hivyo la mabingwa discussion muhimu..na Ronaldo ana watu pia kina issa mamba..
Unakumbuka game ya issa na noel..noel akafa?? Ilikua mda kidgo issa alikua anatembea miguu ya cr7..
Ikajirudia fainali ya issa mamba na nduli je? Cr7 kashinda na issa mda mrefu mnoo,,ikabidi sisqo amfate nduli kumuambia uko wenzako wameunda kamati kabsaa,,na wao wakakaa chini(noel,nduli,sisqo) nduli akachukua ulikua mpunga mrefu mno ckumbuki exactly prize..
Kama ni makosa basi yalianza mda mrefu Kwa noel vs Ronaldo..
Ndio maana Kuna game nlishaielezea apo awali dau lilikua 600 nazan peak ya cr7 na peak ya noel..
Cr7 akaweka masharti kwamba kwenye iyo game nduli, sisqo wasiwepo..na noel akakataa kama hawatokuwepo sichezi..na game haikuchezwa..
All in all cr7 angekufa tuu Kwa sisqo nazani nilishasema pia..kama rematch itakuwepo sisqo atakufa 1-0,, I predict so ..
Aaron Arsenal Ww ni wa mda kweny madanali nazani izo game unazifahamu na fitina zake..