Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
vipi kama anatumia computer ?Huyo mkulima ni undisputed player hivyo mabingwa wa draft tanzania hakuna anaweza kumfunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kama anatumia computer ?Huyo mkulima ni undisputed player hivyo mabingwa wa draft tanzania hakuna anaweza kumfunga
na ww nenda na computer uone 🤣🤣🤣vipi kama anatumia computer ?
na ww nenda na computer uone 🤣🤣🤣
jamaa hajulikani na pia anatumia software maajabu hata ukija na dalmax yeye anakupiga sijui anatumia mtambo ganikwanza sina mchongo wa software ya draft inayoweza kumfunga kila mtu.... ambayo inawezekana Mkulima anayo
pili ningependa kuwa mjuzi wa ukweli ili niweze kujitokeza openly na sio kujificha nyuma ya computer...
basi nikadhani nyinyi wacheza drafti ni mijitu brilliant isiyochoka kufikiri na ku consider all posibilities... sasa nashangaa badala ya kunijibu unanizodoa na swali langu la vipi kama Mkulima anatumia msaada wa software kucheza online ??? Kuna huo uwezekano ???
hata huu wa kwetu, Damas, ulioletwa na Mjerumani, uko solved, na vitabu vimeandikwa. Inawezekana kuna software pia, ambayo Mkulima - ambae hafungwi online na haonekani mitaani - anatumia.british? Hii king haruki ni game ya kimarekani. Hiyo ndiyo ikosolved kabisa na kuandikiwa vitabu vingi sana
Unawezaje kuchukuwa copy kwa dalmax wazeeKumbe inawezekana na mm ngoja niimeze watu wanaangaika na copy ila mm miguu mingi naichukua dalmax kopy za mabingwa nazichukua ili nipate kujua watu wanachezaje ila dalmax ndio mwalimu wangu hii copy ya mabano mm ninayo kitambo niliichukuwa kwa dalmax ila kuikariri kimbembe
Tatizo unaweza kukuariri lakin mpinzan wako asicheze ulivyotarajia na akakusumbuwa tudalmax anatisha hii copy dalamx anaijua mm nayo ila iyo misstep kuikariri kichefu chefu
Wataalamu ndio nyie wakuu tunaomba mtufundishe vijan wenuyaan Rafiki angu kwa tulipofika kwenye draft la karne hii hasa bongo ww inatakiwa uanze chekechekea maana hujui unachouliza ila kukusaidi draft letu la kibongo tunacheza copy na hizi copy ndio zinatengeneza michezo hivyo ukitaka kujua tafuta mtu akufundishe copy na baadhi ya copy zinazoanza kete hiyo uliosema ya major ni pandu samba na nyingine
dalmax mwalimu yule ana mikopy kibao ukitaka kuchukua copy kwa dalmax kwanza unayo az recordUnawezaje kuchukuwa copy kwa dalmax wazee
kabla ya kucheza copy ukiona mtu haji unatafuta sare usifungweTatizo unaweza kukuariri lakin mpinzan wako asicheze ulivyotarajia na akakusumbuwa tu
inamaana hapo unajua copy ngapiWataalamu ndio nyie wakuu tunaomba mtufundishe vijan wenu
Mm sijui copy hata moja mkuu ila kuna moja nimeikarir jana na wal sijui inaitwaje japo nimejaribu kuichambu but nothinginamaana hapo unajua copy ngapi
Tatiz yy anaweza akawa na copy nzur but nikachemka kweny reply mm nikasukuma kete mbovudalmax mwalimu yule ana mikopy kibao ukitaka kuchukua copy kwa dalmax kwanza unayo az record
huyu jamaa alikuwa bonge la ticha sijui kapotelea wap anKwan hakuna mwalimu yeyote anaefundisha huu mchezo na copy zake na mana navyojua kila copy ina kete zake na usipocheza ket sahihi bas kufungwa hakuepukiki
SijakuelewaDuh ukizani umeona kila kitu ....
upo mkoa ganii nikusaidie kukupa mwalimu utakuwa bingwa kama mangelele au ronaldoKwan hakuna mwalimu yeyote anaefundisha huu mchezo na copy zake na mana navyojua kila copy ina kete zake na usipocheza ket sahihi bas kufungwa hakuepukiki
Darupo mkoa ganii nikusaidie kukupa mwalimu utakuwa bingwa kama mangelele au ronaldo