DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

na ww nenda na computer uone 🤣🤣🤣

kwanza sina mchongo wa software ya draft inayoweza kumfunga kila mtu.... ambayo inawezekana Mkulima anayo

pili ningependa kuwa mjuzi wa ukweli ili niweze kujitokeza openly na sio kujificha nyuma ya computer...

basi nikadhani nyinyi wacheza drafti ni mijitu brilliant isiyochoka kufikiri na ku consider all posibilities... sasa nashangaa badala ya kunijibu unanizodoa na swali langu la vipi kama Mkulima anatumia msaada wa software kucheza online ??? Kuna huo uwezekano ???
 
jamaa hajulikani na pia anatumia software maajabu hata ukija na dalmax yeye anakupiga sijui anatumia mtambo gani
 
Basi nikajua Cisco Networking Academy

Nilitaka kukumbuka username yangu na password kwenye page ya netacad login
 
british? Hii king haruki ni game ya kimarekani. Hiyo ndiyo ikosolved kabisa na kuandikiwa vitabu vingi sana
hata huu wa kwetu, Damas, ulioletwa na Mjerumani, uko solved, na vitabu vimeandikwa. Inawezekana kuna software pia, ambayo Mkulima - ambae hafungwi online na haonekani mitaani - anatumia.

Nitashangaa sana kama mimi - of all the people, ans of all the brainiacs wa hapo Manyanya na Tanzania nzima - niwe wa kwanza kujiuliza kuna safeguards gani zipo kuhakikisha hamshindani na mtu anaetumia computer ???
 
Kumbe inawezekana na mm ngoja niimeze watu wanaangaika na copy ila mm miguu mingi naichukua dalmax kopy za mabingwa nazichukua ili nipate kujua watu wanachezaje ila dalmax ndio mwalimu wangu hii copy ya mabano mm ninayo kitambo niliichukuwa kwa dalmax ila kuikariri kimbembe
Unawezaje kuchukuwa copy kwa dalmax wazee
 
yaan Rafiki angu kwa tulipofika kwenye draft la karne hii hasa bongo ww inatakiwa uanze chekechekea maana hujui unachouliza ila kukusaidi draft letu la kibongo tunacheza copy na hizi copy ndio zinatengeneza michezo hivyo ukitaka kujua tafuta mtu akufundishe copy na baadhi ya copy zinazoanza kete hiyo uliosema ya major ni pandu samba na nyingine
Wataalamu ndio nyie wakuu tunaomba mtufundishe vijan wenu
 
Kwan hakuna mwalimu yeyote anaefundisha huu mchezo na copy zake na mana navyojua kila copy ina kete zake na usipocheza ket sahihi bas kufungwa hakuepukiki
 
Kwan hakuna mwalimu yeyote anaefundisha huu mchezo na copy zake na mana navyojua kila copy ina kete zake na usipocheza ket sahihi bas kufungwa hakuepukiki
huyu jamaa alikuwa bonge la ticha sijui kapotelea wap an
 
Back
Top Bottom