DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima


Mimi nahitaji kulijua draft,tafadhali naomba utaratibu wa kuzipata hizo copy
 
Mimi nahitaji kulijua draft,tafadhali naomba utaratibu wa kuzipata hizo copy
Wengi wanaojuwa hawataki na wa ujue boss ila fanya hiv tafuta na pakuwa draft lenye hits then ww ziache zicheze zenyewe ww kazi ya kukariri copy tu
Vile vile ukiona kuna sehemu draft umechemka ww nenda kalipange kwa dalmax alicheze uone umekosea wap asante
 
Huyo mkulima ni binadamu? Au roboti?
 
playok drafti la Kibongo kuanzia saa 6 usiku kunakuwa kimyaaa hakuna wa kucheza naye, mida hiyo Wabongo wanakuwa wamejipumzisha.

mida hiyo ya usiku wa manane ukiona hauna usingizi na playok hakuna wa kucheza naye, nenda kwenye madrafti ya nchi zingine za Russian checkers (Wabongo tunaliita French) na Czech checkers (hili ni kama la Kibongo 95%), madrafti ya nchi hizo wachezaji hawakauki masaa 24, hasa Russian checkers.
 
Hakuna WA kunifikia draft ulimwenguni...nasikia Kuna mkulima..mkulima nakuhitaji
 

Sasa unaweza kucheza Michezo ya Karata (Lastcard na Arubastini) pamoja na Draft na marafiki kupitia App ya Soldrax,

Pakua Soldrax app kutoka playstore


Kisha jiunge na telegram group SOLDRAX USERS kupata marafiki wa kucheza nao.

Usisahau kusubscribe kwenye telegram channel ya Soldrax SOLDRAX ili kupata updates zaidi
 
Njoo Soldrax
 
Nipo kijana wa miaka ya 70 kwa sasa nimekuwa mzee!! Nicheze na nani?
 
Nimeona unamsifia sana mkulima. Anacheza kwenye website gani? Nahitaji kucheza naye. Na anacheza ipi? American pool rules ambayo huku mnajua French au Tanzania rules ambayo mnaita British. Nipo mkoani kikazi. Sina ratiba ya kuja Dar karibuni. Alipatikana bingwa yeyote mitandaoni mniambie.
 
Mkulima unamjua au unamskia Mkuu hafungwi huyo jamaa wewe unataka kupambana na mabingwa kuna wakina Rinaldo sisco nduli noel mamba dogo shuku ww pambana na hao kwanza tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…