[emoji91][emoji91][emoji91] TAARIFA KUTOKA ONLINE [emoji91][emoji91][emoji91]
MKULIMA [emoji89] anawasalimia saaana saaana!
Pia MKULIMA [emoji89] anampongeza SISCO ushindi wake dhidi ya DOGO ALLY
MKULIMA [emoji89] aliitazama MECH ilikuwa yenye ushindani na Magoli Mengi
MKULIMA [emoji89] hana shida ya KUITAWALA hii DUNIA yenu bali anachokitaka yeye ni kuona MMENYOOSHA MIKONO JUU NA KUKIRI KUWA HAMUWEZI KUZUIA SARE KATIKA MICHEZO 24, NAJUA HUENDA LIKAWA JAMBO LA FEDHEA KUKIRI UDHAIFU HUU LAKINI HAMNA BUDI KUFANYA HIVYO ILI MUENDELEE KUWA HURU NA LIMKIA LENU. [emoji89]
MKULIMA [emoji89] ameona ombi la mmoja wa Viongozi wa GROUP LA DRAFT TZ , akiomba ikiwezekana hizo sare katika MICHEZO 24 mzuie kwa UTIMU Mfano leo iwe ni zamu ya WATU HURU kesho WICS kesho kutwa PRS, Vilevile ameenda mbali zaidi kwa kusema hizi sare Mzuie kwa mgawanyo wa kimikoa, Mfano leo zamu ya DAR, kesho TANGA, kwesho kutwa MORO.
TUMELITAFAKARI KWA KINA TUMEONA WAZO LAKE LINA MASHIKO ILA KWA MASHARTI YAFUATAYO............[emoji89]
1} Tutaondoa UNDO option
2} Time itakuwa 7+2
TUKIKUBALIANA MASHARTI HAYO MKULIMA [emoji89] ATAKUWA TAYARI KUTOA MASHARTI YA KUZUIA SARE KWA MAKUNDI .