DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Kipindi hicho, ila Game ya mwisho SISCO alishinda 5-0

Baada ya hapo Ronaldo hataki ,hata dau likiwekwa 1M , hataki ,sio muda nilikuwa naongea nae why hataki anasema Dogo alimtusi ,unaenda zaidi ya miaka miwili Sasa ,hataki kucheza nae
We kwa unavyoona kati ya Sisco na Ronaldo yupi mkali?
 
hata kama ikiwa zamu yake
kwa comment hii natumai una 'kijani' kule jamvini 😀
kete nyeupe zipo nyuma sana, na king nyeupe haipo meja
ili nyeupe ishinde kete tatu (kama anajua, natumai anajua maana ni bingwa) inabidi king yake iwe meja au kete iyo ya kati iwe karibia na kuvishwa crown ( bahati mbaya iko mbali )
nyeupe akitaka awahi meja na king, kete inaliwa, akiiacha meja, nyekundu anawahi meja
 
Ipo hivo Hilo kwa wengi hata mafundi wenyewe wanasema Ni Goli kwa 3

Ila mkulima alitoa Sare vzr kabisa, na Video yake IPO

Kuna Step anafanya hapo Hadi Sare

Kimeshachukuliwa Kama kipande, watu wataanza kuzunguka nacho kuwapiga watu pesa
Hahahaha vipande naviogopa sana, yani mtu anakuja na bao linatamanisha ukiingia kichwa kichwa umepotea
 
kwa comment hii natumai una 'kijani' kule jamvini 😀
kete nyeupe zipo nyuma sana, na king nyeupe haipo meja
ili nyeupe ishinde kete tatu (kama anajua, natumai anajua maana ni bingwa) inabidi king yake iwe meja au kete iyo ya kati iwe karibia na kuvishwa crown ( bahati mbaya iko mbali )
nyeupe akitaka awahi meja na king, kete inaliwa, akiiacha meja, nyekundu anawahi meja
Ngoja nitalipanga huku kijiweni halafu nishirikishe maoni ya wadau nione kama kuna sare

Feedback nitaiweka
 
kama ni fundi kwa macho unaona ni sare ( zamu ya nyekundu ) , sitilii shaka uwezo wa uyo aliyetoa comment #101
Hapana mzee sio rahisi yani namna ya ku escape goli kivyovyote haiwezi kuwa open na ndio maana watu walichukua vdeo kama kipande

Hiyo video ungeiweka hapa nadhani i geluwa bomba zaidi (kama itawezekana lakini)
 
Mkuu hamna goli hapo mbona kwa macho tu linaonekana?
Hapo mwenye mwenye nyekundu ndio zamu yake kucheza na kwa vyovyoye ataaingia king upande wa chumba cha kulia.
IMG_20230105_215147.jpg
 
Mkuu hamna goli hapo mbona kwa macho tu linaonekana?
Hapo mwenye mwenye nyekundu ndio zamu yake kucheza na kwa vyovyoye ataaingia king upande wa chumba cha kulia. Akingia King, huyo mwenye nyeupe akisema awahi Major, huyu mwenye nyekundu ataiomba kete nyeupe aile na lazima iliwe tuView attachment 2470279
Hapo move ya mwenye nyeupe sio kuchukua major

Hapo lazima aweke kingi mbele ya kete yake hiyo ambayo ipo major kunusuru isiweze kuliwa

Hiyo itamfanya mwenye nyekundu asiweze kuiomba kupitia major kwasababu ataonganishiwa kingi moja kwa moja na ile kete ya nyuma na kufanya kingi yake iuliwe

Ngoja ntalipanga afu ntakuwekea, hilo bao ni controversial sana
 
Sasa nimepata hapa review ngoja nikuoneshe
IMG_20230105_220405.jpg

Angalia hapo hiyo kete nyekundu imeingia kingi tayari na hapo anasubiriwa mwenye kijani kucheza

Sasa fikiria ukiwa mwenye kingi nyekundu what your next move would it be?

Angalia kwa umakini halafu utaniambia kama hilo ni bao jepesi kama ulivyo fikiria mwanzo
 
Una maanisha aweke king hapo? Kama ndio hivyo. Je akiomba hiyo kete kwa nyuma haitoliwa?
IMG_20230105_222327.jpg
 
Sasa nimepata hapa review ngoja nikuoneshe
View attachment 2470288

Angalia hapo hiyo kete nyekundu imeingia kingi tayari na hapo anasubiriwa mwenye kijani kucheza

Sasa fikiria ukiwa mwenye kingi nyekundu what your next move would it be?

Angalia kwa umakini halafu utaniambia kama hilo ni bao jepesi kama ulivyo fikiria mwanzo
Hapo mwenye nyekundu si ndio kaingia King, anayetakiwa kucheza ni huyo mpinzani wake haya niambie utacheza wapi?
 
Yaani draft linaonekana kwa macho kaenda kabisa kulipanga na bado anatoka kapa. Dah
Ofcourse nataka challenge ila sio kwa majibu mepesi kama hayo wakati draft linaonekana sio simple kama ambavyo mnataka kutuaminisha hapa

Niambieni baada ya hapo unacheza wapi

IMG_20230105_221113.jpg
 
Back
Top Bottom