Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sawa inawezekana ukawa unajua draft sana ila sijatoshelezwa na hoja zako kuhusiana na sare ya draft hilono offense Scars, ila wewe bado
Ndio maana nimesema kungekuwa na app inayowezesha mtu kuoanga kete anavyotala tungeweza kufanya analysis hapo
Kwasababu mi mwenyewe najua, mpaka draft likachukuliwa kama kipande ujue halipo open na kwa jinsi nilivyoliona sijaona sehemu yeyote ya sare