DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

no offense Scars, ila wewe bado
Sawa inawezekana ukawa unajua draft sana ila sijatoshelezwa na hoja zako kuhusiana na sare ya draft hilo

Ndio maana nimesema kungekuwa na app inayowezesha mtu kuoanga kete anavyotala tungeweza kufanya analysis hapo

Kwasababu mi mwenyewe najua, mpaka draft likachukuliwa kama kipande ujue halipo open na kwa jinsi nilivyoliona sijaona sehemu yeyote ya sare
 
Naiomba hiyo kete kwa nyuma, wewe utacheza vipi?View attachment 2470318
Hapo umepotea hiyo kete naiziba na kingi

IMG_20230105_220435.jpg
 
dronedrake

Halafu unataka kusema eti gemu hilo lipo open

Umenifanya nitoke home niende kijiweni kulipanga upya na kulifanyia tathmini na kila nikipiga hesabu naona hili ni goli then we unakuja kusema lipo simple aaah hapo umezingua
 
Narudi pale pale nilipotoka
Wewe kwa hesabu zako mpaka hapo hilo ni goli

Mimi mwenyewe ni mchezaji average nilivyoliona hilo bao sikutaka kulikibali kiwepesi kuwa ni sare

Siku zote unapoona watu wanachukua bao kama kipande ujue kuna cheating codes hapo ambazo ziko hidden

Angalia dronedrake alivyotoa sare na jinsi wewe ulivyokuwa unalicheza utaona utofauti
 
Kwa vyovyote vile hakuna goli kwasababu kitendo cha awali cha kukuomba kete na ukaziba maanake nimeshakutoa kwenye namna ya kuilinda hiyo kupitia major.
 
Unaisogeza kufuata road ama kuelekea wapi? Kama utasogeza kufuata road itakuwa haizibiki tena nikiiombea major
Naisogeza mbele kufuata roàd

Ukiiomba nitaikinga kwa kingi yangu, yani kitendo cha mimi kuiziba kitafanya niwe nimeiomba kingi yako ambapo huwezi kurudi chumba cha mwisho major kwasababu kupitia kete yangu ile ya nyuma nitakuwa na step ya kukufanya nikufunge kwa kujifungia kingi yako
 
Back
Top Bottom