We kwa unavyoona kati ya Sisco na Ronaldo yupi mkali?Kipindi hicho, ila Game ya mwisho SISCO alishinda 5-0
Baada ya hapo Ronaldo hataki ,hata dau likiwekwa 1M , hataki ,sio muda nilikuwa naongea nae why hataki anasema Dogo alimtusi ,unaenda zaidi ya miaka miwili Sasa ,hataki kucheza nae
kwa comment hii natumai una 'kijani' kule jamvini 😀hata kama ikiwa zamu yake
Ngoja nikifika kijiweni ntalipanga halafu nitacheki kama hakuna goli, feedback nitaiweka hapaHamna goli hapo, mwenye nyeupe anabidi akubadili kati ya kuliwa kete yake iliyokuwa njiani au amruhusu mwenye nyekundu akae major.
Hahahaha vipande naviogopa sana, yani mtu anakuja na bao linatamanisha ukiingia kichwa kichwa umepoteaIpo hivo Hilo kwa wengi hata mafundi wenyewe wanasema Ni Goli kwa 3
Ila mkulima alitoa Sare vzr kabisa, na Video yake IPO
Kuna Step anafanya hapo Hadi Sare
Kimeshachukuliwa Kama kipande, watu wataanza kuzunguka nacho kuwapiga watu pesa
Ngoja nitalipanga huku kijiweni halafu nishirikishe maoni ya wadau nione kama kuna sarekwa comment hii natumai una 'kijani' kule jamvini 😀
kete nyeupe zipo nyuma sana, na king nyeupe haipo meja
ili nyeupe ishinde kete tatu (kama anajua, natumai anajua maana ni bingwa) inabidi king yake iwe meja au kete iyo ya kati iwe karibia na kuvishwa crown ( bahati mbaya iko mbali )
nyeupe akitaka awahi meja na king, kete inaliwa, akiiacha meja, nyekundu anawahi meja
kama ni fundi kwa macho unaona ni sare ( zamu ya nyekundu ) , sitilii shaka uwezo wa uyo aliyetoa comment #101Ngoja nitalipanga huku kijiweni halafu nishirikishe maoni ya wadau nione kama kuna sare
Feedback nitaiweka
Hapana mzee sio rahisi yani namna ya ku escape goli kivyovyote haiwezi kuwa open na ndio maana watu walichukua vdeo kama kipandekama ni fundi kwa macho unaona ni sare ( zamu ya nyekundu ) , sitilii shaka uwezo wa uyo aliyetoa comment #101
Mkuu hamna goli hapo mbona kwa macho tu linaonekana?Hapana mzee sio rahisi yani namna ya ku escape goli kivyovyote haiwezi kuwa open na ndio maana watu walichukua vdeo kama kipande
Hiyo video ungeiweka hapa nadhani i geluwa bomba zaidi (kama itawezekana lakini)
Hapo move ya mwenye nyeupe sio kuchukua majorMkuu hamna goli hapo mbona kwa macho tu linaonekana?
Hapo mwenye mwenye nyekundu ndio zamu yake kucheza na kwa vyovyoye ataaingia king upande wa chumba cha kulia. Akingia King, huyo mwenye nyeupe akisema awahi Major, huyu mwenye nyekundu ataiomba kete nyeupe aile na lazima iliwe tuView attachment 2470279
uwezo mdogo huyokwa macho tu linaonekana?
Sasa nimepata hapa review ngoja nikuonesheMkuu hamna goli hapo mbona kwa macho tu linaonekana?
Hapo mwenye mwenye nyekundu ndio zamu yake kucheza na kwa vyovyoye ataaingia king upande wa chumba cha kulia. Akingia King, huyo mwenye nyeupe akisema awahi Major, huyu mwenye nyekundu ataiomba kete nyeupe aile na lazima iliwe tuView attachment 2470279
Kungekuwa na app inayoruhusu kupanga kete unavyotaka tungejaribu ku challenge mawazo hapauwezo mdogo huyo
Una maanisha aweke king hapo? Kama ndio hivyo. Je akiomba hiyo kete kwa nyuma haitoliwa?Hapo move ya mwenye nyeupe sio kuchukua major
Hapo lazima aweke kingi mbele ya kete yake hiyo ambayo ipo major kunusuru isiweze kuliwa
Hiyo itamfanya mwenye nyekundu asiweze kuiomba kupitia major kwasababu ataonganishiwa kingi moja kwa moja na ile kete ya nyuma na kufanya kingi yake iuliwe
Ngoja ntalipanga afu ntakuwekea, hilo bao ni controversial sana
no offense Scars, ila wewe badoKungekuwa na app inayoruhusu kupanga kete unavyotaka tungejaribu ku challenge mawazo hapa
Angalia hiyo picha nimeiweka hapo jui afu niambie wewe mwenye kingi nyekundu utacheza wapi?
Hapo mwenye nyekundu si ndio kaingia King, anayetakiwa kucheza ni huyo mpinzani wake haya niambie utacheza wapi?Sasa nimepata hapa review ngoja nikuoneshe
View attachment 2470288
Angalia hapo hiyo kete nyekundu imeingia kingi tayari na hapo anasubiriwa mwenye kijani kucheza
Sasa fikiria ukiwa mwenye kingi nyekundu what your next move would it be?
Angalia kwa umakini halafu utaniambia kama hilo ni bao jepesi kama ulivyo fikiria mwanzo
Kingi haiwekwi road mzee, inawekwa hapaUna maanisha aweke king hapo? Kama ndio hivyo. Je akiomba hiyo kete kwa nyuma haitoliwa?View attachment 2470303
Yaani draft linaonekana kwa macho kaenda kabisa kulipanga na bado anatoka kapa. Dahno offense Scars, ila wewe bado
Anachukua kingi yake na kuiweka karibu na kete yale ya road ili ku defend isiombweHapo mwenye nyekundu si ndio kaingia King, anayetakiwa kucheza ni huyo mpinzani wake haya niambie utacheza wapi?
Ofcourse nataka challenge ila sio kwa majibu mepesi kama hayo wakati draft linaonekana sio simple kama ambavyo mnataka kutuaminisha hapaYaani draft linaonekana kwa macho kaenda kabisa kulipanga na bado anatoka kapa. Dah
Naiomba hiyo kete kwa nyuma, wewe utacheza vipi?Ofcourse nataka challenge ila sio kwa majibu mepesi kama hayo wakati draft linaonekana sio simple kama ambavyo mnataka kutuaminisha hapa
Niambieni baada ya hapo unacheza wapi
View attachment 2470317