DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Wewe ni mbishi wa asili.

Beba hiyo computer yako uende nayo hapo college.
hao naowapelekea wamewahi kushinda ubingwa wa dunia ?

kama bingwa wa dunia hawezi hao wataweza ?

niwa pelekee kina nani ? hao wanaoambiwa waunganishe vichwa 10 washindane na huyo mkulima ambae huenda nae anatumia program hii ?
 
hao naowapelekea wamewahi kushinda ubingwa wa dunia ?

kama bingwa wa dunia hawezi hao wataweza ?

niwa pelekee kina nani ? hao wanaoambiwa waunganishe vichwa 10 washindane na huyo mkulima ambae huenda nae anatumia program hii ?
Mkuu wewe unajua kucheza draft? Ushawahi hata kuitwa mwamba kwenye kijiwe chenu? Unawajua mabingwa wa draft tz? Maana isije ukawa unabisha tu ingali umesoma tu kuwa kuna programu inaitwa Chinok mtandaoni ukawachukulia poa vipanga wa draft in real time
 
kabishane na google

hata waungane mangwelele, uwezo wa marehemu juma na ronaldo wanatoka kapa

 
hao naowapelekea wamewahi kushinda ubingwa wa dunia ?

kama bingwa wa dunia hawezi hao wataweza ?

niwa pelekee kina nani ? hao wanaoambiwa waunganishe vichwa 10 washindane na huyo mkulima ambae huenda nae anatumia program hii ?
Simple , achana na bingwa wa dunia mkuu.

Beba computer yako Nenda nayo manyanya na dau lako kubwa tuu, nakuhakikishia utapigwa adi ufilisike. Mwishoni utaeka bond iyo computer nayo italiwa
 
Simple , achana na bingwa wa dunia mkuu.

Beba computer yako Nenda nayo manyanya na dau lako kubwa tuu, nakuhakikishia utapigwa adi ufilisike. Mwishoni utaeka bond iyo computer nayo italiwa
kabishane na google nimechoka kubishana na wewe unaedhani apps hizo za simu ni sawa na computer program inayowagalagaza mabingwa wa draft wa dunia

niambie ni mwanadamu gani kakariri moves zote bilioni 500 za drafti ??
 
kabishane na google nimechoka kubishana na wewe unaedhani apps hizo za simu ni sawa na computer program inayowagalagaza mabingwa wa draft wa dunia

niambie ni mwanadamu gani kakariri moves zote bilioni 500 za drafti ??
Google hua ni binadamu ndo tuna feed information, ata wewe unaeza enda andika leo mkulima ni bingwa wa draft kuwai kutokea, na mwaka 2500 mtu akaikuta.

Kingine Checkers ya 2007 ina kanuni tunazotumia Tanzania.??

Usiwe unakariri tu mkuu ,elewa .

Ukibisha sana ,beba computer yako na iyo app yako kapige ela pale manyanya [emoji3]
 
Kipindi hicho, ila Game ya mwisho SISCO alishinda 5-0

Baada ya hapo Ronaldo hataki ,hata dau likiwekwa 1M , hataki ,sio muda nilikuwa naongea nae why hataki anasema Dogo alimtusi ,unaenda zaidi ya miaka miwili Sasa ,hataki kucheza nae
nakumbuka game ilipigwa kitunda
 
Msomali anakuja Sana manyanya pale hata mechi na Sisco hawez omba Wala kupangiwa..sio uzani wake,,...huyo anahangaishana na kina Ally white wachezaji uzani flani wa katkat ao wa mabao
Sisco alishapigwa game 3 kati ya 5 na Mr. Waziri (Huyu ni Mwalimu wa sekondari) kama unamjua vizuri. Ila tusiongee sana itafika siku tu
 
Sisco alishapigwa game 3 kati ya 5 na Mr. Waziri (Huyu ni Mwalimu wa sekondari) kama unamjua vizuri. Ila tusiongee sana itafika siku tu
sisco sio kama hafungwi mkuu..usininukuu vibaya,ila ndo fundi mkubwa wa mabao kwa sasa,mechi anazofungwa ni za kuzisaka na tochi,kufungwa ni sehemu ya mchezo
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
IBM walikua na software ya CHESS ambayo kwa namna yeyote binadamu hazingeweza kuifunga,,unajua nini kilitokea???beba laptop yako na hela nenda kwa mabingwa na hela Ku prove point yako..acha ubishi wa nenda Google kama wewe ndio wa kwanza kwenda Google kuangalia madrafti..
 
anakufunga kwa sababu mnacheza mara 24. Concentration na umakini wa kichwa unapungua kadri mnavyoondelea.

Hata mabingwa wa dunia wa chess hawachezi michezo 24 mfululizo. Hivi wacheza drafti wa Tanzania hawalioni hili, wana akili moja tu ya drafti ?
Ni kweli kabisa unajua ukicheza omari john hapo ile 14 major kavimba taa tren nugza mabano pasati na tege inawezekana kabisa mechi ikawa draw kwa anaejua draft sana hapo kumfunga ngumu inakuwa sare mkikutana mabingwa sasa zile tege 10 ndio watu wanakuwa wanachoka maana 24 games akili hoi na wanafanya hivi lengo kupata bingwa
 
Yule jamaa anatumia program ukitaka kuamini weka dk 5 unamfunga that's why ukicheza na mkulima lazima dk zake ziwahi kuisha na ndio maana hataki kujionesha kama ana amini yeye ni real ajitokeze katika bench yule mkulima ni program tu anatumia
 
Kama unamjua kiuhalisia Sisco,noel, Ronaldo na umewai kuongea nao wanajua kama mkulima ni program anatumia,,
na sio mara ya kwanza noel,Sisco wanacheza na mkulima ,,Sisco alifungwa 2-0 na mkulima mda sana tuu na akawa anasema ni program..babaaskofu yani noel kma ww ni member wa playok tumeona game zao nyingi tuu.. ndio maana kina java wanasema watu watafute sare interm kama kujipima na program tuone uwezo wa vijana umekua Kwa kiasi gani..
Mkulima anasemekana ni amani sanga ambae kiukwel ni tura tuu live..
Kama ww ni member wa playok Kuna mwamba anatusumbua anaitwa ashkelon ambaye ni Ronaldo anatoa sana droo na mkulima Kwa sababu anakuambia iyo ni program usiishambulie kwasababu mkulima hashambulii ukikosea kidogo iyo chumaaa..
Mtu pekee alieingia nyavuni kwake ni David mbeya tuu..ni ngumu mtu kucheza game 200 na zaid bila kufungwa hasa na wakubwa wenzako..
Sisco
Sisco ni mzuri na anatumia nafasi yake kua juu apige pesa Kwa Sasa..
Kuhusu kumtukana Ronaldo ni Ile bifu tu yakimakundi coz Sisco,nduli,noel ni kundi Moja..na Ronaldo hataki kucheza sikuizi na mmoja wao yoyote wengine wakiwepo..yani akicheza na noel hataki Sisco na nduli wawepo java aliweka 800k iliwacheze noel na cr7..cr7 akaweka kipingamizi iko..
Noel
Noel anapata shida sana akienda kazini..kurudi anakuta vijana wamejiupdate mnoo kwaiyo anapata shida kwakua mkoani hmna mabingwa wakubwa..mfano jamaa apo juu amemtaja msomali ambako tunamjua akija manyanya ni mchezaji wa kawaida..refer game ya omary kiwembe vs noel
Alipata shida mno akafa 4-1..kina Sisco daily wanajiupdate..

Nduli
A very good consistent man Inatosha kumdescribe ivo..akipoteana kidgo atamuita Sisco,noel ampe kitu..

Chess huu mchezo ni mgumu mno ndio mana watz tumeukimbia..
Currently Kwa Sasa Sisco ni mkubwa mnooo..
My believe huu mkataba wa droo wakimpa Ronaldo anaweza toboa,,just a believe.. kwasababu wamecheza games nyingi mkulima akashinda 2..
Draft raha sana.. wengine cc wenye point 1500 za kudandadanda tunateseka mnoo..
 
Mkulima ni program tu na kama anajiamini yeye anajua atoke real katika benchi na kingine kinachofanya niamini kuwa mkulima anatumia program ukicheza nae muda wake unawahi kuisha na pili pale gemu inapoanza labda ww umeanza kucheza kete ya kwanza yeye atachykuwa kama dka hata 2 ndio acheze huo ni ushahidi mpka arekebishe program kwa kutoa michezo iliyopita ndio acheze tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…