Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Nimefurahi nilitaka kuuliza sare 24 inakuaje..pia fafanuzi kidogo kama hutojali tege,john na Omary ni niniHuyo mkulima ni undisputed player hivyo mabingwa wa draft tanzania hakuna anaweza kumfunga hivyo yeye anakupa sare michezo 24 maana yake katika michezo iyo asipokufunga wewe ni bingwa