DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

[emoji91][emoji91][emoji91] TAARIFA KUTOKA ONLINE [emoji91][emoji91][emoji91]

MKULIMA [emoji89] anawasalimia saaana saaana!

Pia MKULIMA [emoji89] anampongeza SISCO ushindi wake dhidi ya DOGO ALLY

MKULIMA [emoji89] aliitazama MECH ilikuwa yenye ushindani na Magoli Mengi

MKULIMA [emoji89] hana shida ya KUITAWALA hii DUNIA yenu bali anachokitaka yeye ni kuona MMENYOOSHA MIKONO JUU NA KUKIRI KUWA HAMUWEZI KUZUIA SARE KATIKA MICHEZO 24, NAJUA HUENDA LIKAWA JAMBO LA FEDHEA KUKIRI UDHAIFU HUU LAKINI HAMNA BUDI KUFANYA HIVYO ILI MUENDELEE KUWA HURU NA LIMKIA LENU. [emoji89]

MKULIMA [emoji89] ameona ombi la mmoja wa Viongozi wa GROUP LA DRAFT TZ , akiomba ikiwezekana hizo sare katika MICHEZO 24 mzuie kwa UTIMU Mfano leo iwe ni zamu ya WATU HURU kesho WICS kesho kutwa PRS, Vilevile ameenda mbali zaidi kwa kusema hizi sare Mzuie kwa mgawanyo wa kimikoa, Mfano leo zamu ya DAR, kesho TANGA, kwesho kutwa MORO.

TUMELITAFAKARI KWA KINA TUMEONA WAZO LAKE LINA MASHIKO ILA KWA MASHARTI YAFUATAYO............[emoji89]

1} Tutaondoa UNDO option
2} Time itakuwa 7+2

TUKIKUBALIANA MASHARTI HAYO MKULIMA [emoji89] ATAKUWA TAYARI KUTOA MASHARTI YA KUZUIA SARE KWA MAKUNDI .
 
Nimecheka hoyo mikwara ya Mkulima

So tunaweza finalize kuwa Mkulima ndio best player kwa Tanzania au kuna wengine wapo??
 
Huyu Noel si mchizi kutoka Iringa afu naskia ni ticha?

Kacjapika tena kwa Mkulima aiseeee huyu Mkulima nataka nione mechi yake na Ronaldo matokeo yatakuwaje
Huyo Huyo Ni wanjombe

Unapotaja Mabingwa wa Draft TZ

Mangwelele

Ronaldo

Noel

Sema Ronaldo anafurahia Sana wenzie wanavyochapika , Anasema anataka game na MKULIMA [emoji89] amfundishe adabu

Ikiwa confirmed nitaweka humu

Huu uwe uzi rasmi wa Draft
 
Dogo Sisco Baada ya kumpiga Dogo Ally 3-2
IMG-20230105-WA0096.jpg
 
Huyo Huyo Ni wanjombe

Unapotaja Mabingwa wa Draft TZ

Mangwelele

Ronaldo

Noel

Sema Ronaldo anafurahia Sana wenzie wanavyochapika , Anasema anataka game na MKULIMA [emoji89] amfundishe adabu

Ikiwa confirmed nitaweka humu

Huu uwe uzi rasmi wa Draft
Yes uwe uzi rasmi mzee hapo utakuwa umetishaa

Sema katika hao mabingwa why Sisco hujamuweka?

Ronaldo naskia amepasuka mara kibao kwa Sisco au ilikuwa mkataba wa sare nini?
 
kama ni zamu ya huyo mwende nyekundu ni sare, kama ni zamu ya mwenye nyeupe basi ni wavu
Yani hapo sijaelewa sare analitoaje huyo mwenye nyekundu hata kama ikiwa zamu yake

Navyojua hapo ana step moja ya kuingia kingi ambapo hawezi ku kishi hiyo kete lazima aingie chumba ambacho kitamfanya mwenye kete nyeupe atembeze kete zake
 
Yes uwe uzi rasmi mzee hapo utakuwa umetishaa

Sema katika hao mabingwa why Sisco hujamuweka?

Ronaldo naskia amepasuka mara kibao kwa Sisco au ilikuwa mkataba wa sare nini?
Kipindi hicho, ila Game ya mwisho SISCO alishinda 5-0

Baada ya hapo Ronaldo hataki ,hata dau likiwekwa 1M , hataki ,sio muda nilikuwa naongea nae why hataki anasema Dogo alimtusi ,unaenda zaidi ya miaka miwili Sasa ,hataki kucheza nae
 
Back
Top Bottom