DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

changaule bado haelewi elewi anafungwaje kwa aina ile ya alivyokuwa anafikiria

Lile ni goli wala usiumize kichwa, kesho kama bado hujalipatia ufumbuzi nitakuwekea mchanganuo wote kupitia picha
 
Ipo hivo Hilo kwa wengi hata mafundi wenyewe wanasema Ni Goli kwa 3

Ila mkulima alitoa Sare vzr kabisa, na Video yake IPO

Kuna Step anafanya hapo Hadi Sare

Kimeshachukuliwa Kama kipande, watu wataanza kuzunguka nacho kuwapiga watu pesa
Ni sare ile. Nilishuhudia ile game.
 
Inakuwa hivi, kuna program za computer zimemezeshwa kila copy ya draft na mbinu, hakuna kipya utachofanya ambacho haijui, kwa kifupi ni kwamba hakuna mwanadamu anaeweza kushinda, na hata zikicheza computer 2 ni droo.

mfano wa hizi program ni kama chinook iliyoweza kuzimeza kopi zote za kushinda na kutoa sare. HAIFUNGIKI !! achana na hizo games za kwenye simu, hazifikii hata theluthi ya kilichomo kwenye chinook.

Kwa mtu anaecheza mtandaoni anaweza kuzitumia program hizo kujimwambafai, upande moja anakuwa na laptop yenye hiyo program upande wa pili ndio anakuwa na simu anayochezea draft mtandaoni.

Mpinzani akisukuma kete, nae anaigiliza hio move anaiweka kwenye program ya computer, computer ikicheza yeye anaigilizia anacheza hivyo hivyo kwenye simu yake mtandaoni,

nimestuka sana pale imefikia hatua huyo mkulima hataki kajiamini kiasi kuviomba vikundi vya draft viwe vinahangia kwa mpigo wawe wanaunganisha vichwa, yawezekana ni mtaalam ila kwenye hili ndipo nilipomtilia shaka huenda ana kichwa kama computer ama anatumia program ya computer.

Wanaocheza drafti yawezekana wanachojua zaidi ni drafti ila wasisahau kwamba teknolojua imekuwa kubwa sana, wawe makini !! wao wanaweza kudhani kwa kuwa anaecheza ni mtu basi wanamwamini kumbe mtu wanaecheza nae anaigilizia kwenye computer.

Nasikia kuna sponsor analipa pesa... Awe makini.
 
Acha jamaa awanyooshe
najaribu kuwaokoa wacheza draft hao, isije ikawa ni kijana wa form 3 yupo na laptop yake kawazidi akili wakubwa zake wanaodhani wanacheza na mtu bila kujua huyo mtu anatumia akili ya computer kuigilizia moves
 
Wacheza draft wote wakubwa wanajua app zote za madraft tofauti na jinsi unavyo wakadiria

Huyo dalmax watu wanamchapa hata sare hazioni

Huu mchezo unaweza ukauchukulia kama passion wenzako hiyo ni ajira na kila siku wanatafuta mbinu mpya
 
Ngumu kutoa sare zote kama kwa hiyo michezo kama mtu ana uwezo atakufunga tu

anakufunga kwa sababu mnacheza mara 24. Concentration na umakini wa kichwa unapungua kadri mnavyoondelea.

Hata mabingwa wa dunia wa chess hawachezi michezo 24 mfululizo. Hivi wacheza drafti wa Tanzania hawalioni hili, wana akili moja tu ya drafti ?
 
Wacheza draft wote wakubwa wanajua app zote za madraft tofauti na jinsi unavyo wakadiria

Huyo dalmax watu wanamchapa hata sare hazioni

Huu mchezo unaweza ukauchukulia kama passion wenzako hiyo ni ajira na kila siku wanatafuta mbinu mpya
hizo apps za simu cha mtoto kabisa zina copy chache na zimetengenezwa kwa feautures za kawaida, huwezi kulinganisha na programs zilizotengenezwa na watu waliosomea sayansi ya drafti, mfano wa program kama chinook wameilisha mbinu na copy zote nayo ikawa inasaidiwa na computer izijue copy za ziada... HAIFUNGIKI!!!!

Tusibishane sana humu ingia google tafadhali
 
hizo apps za simu cha mtoto kabisa zina copy chache na zimetengenezwa kwa feautures za kawaida, huwezi kulinganisha na programs zilizotengenezwa na watu waliosomea sayansi ya drafti, mfano wa program kama chinook wameilisha mbinu na copy zote nayo ikawa inasaidiwa na computer izijue copy za ziada... HAIFUNGIKI!!!!
Beba hiyo laptop yako nenda pale manyanya draft college waambie tucheze draft ila mimi nitakuwa natumia formula za hii program afu wewe utakuwa unatumia akili yako

Halafu weka dau hata 50k uone watu wanavyoingia porini kusaka hela ya madaftari ya watoto shuleni
 
Mkuu tatizo huwa mnacheza drafts za kwenye apps za simu ambazo zinatumia hesabu basic kabisa, Computer program kama chinook iliyofanyiwa utafiti kwa miaka 19 kuanzia 1989 hadi 2007 ni kitu kingine, haina kipya cha kujifunza na HAIFUNGIKI !!

Tangu mwaka 2007 chinook ilipoweza kuusoma mchezo wa draft kwa asilimia 100, HAIFUNGIKI !!

Nakumumbusha tu kwamba mchezo wa draft tayari upo solved nikimaanisha ya kwamba tayari umeweza kusomeka mbinu zote, kama hutojali ingia google usechi "checkers solved" ... Mchezo ambao kwa sasa bado haujawa solved ni Chess ila bado tafiti zinaendelea
 
Mkuu tatizo huwa mnacheza drafts za kwenye apps za simu ambazo ni basic kabisa, Computer program kama chinook iliyofanyiwa utafiti kwa miaka 19 kuanzia 1989 hadi 2007 ni kitu kingine, HAIGUNGIKI !!

Tangu mwaka 2007 chinook ilipoweza kuusoma mchezo wa draft kwa asilimia 100, HAIGUNGIKI !!
Acha mbambamba,, we ushaambiwa beba hiyo chinook yako nenda nayo kinondoni manyanya draft college,, hivyo we kwa akili yako unajua hiyo chinook unaijua we peke yako? Au mkulima peke yake? Hizo program watu wanazijua sana, ila kinachotumika ni akili za mtu na sio hizo program,, na ukibisha we nenda na computer yako pale.
 
Acha ubishi tafadhali, Chinook kamshinda bingwa wa drafti duniani tangu 1993 na mpaka sasa hakuna bingwa wa dunia aliewahi kushinda.

Drafti imebaki kuwa mchezo wa binadamu sio wa kupambanisha na computer, Ni sawa na mchezo wa mbio hatuwezi kuwaweka paka washindane na binadamu.
 
Inakuwa hivi, kuna program za computer zimemezeshwa kila copy ya draft na mbinu, hakuna kipya utachofanya ambacho haijui, kwa kifupi ni kwamba hakuna mwanadamu anaeweza kushinda, na hata zikicheza computer 2 ni droo.

Mfano wa hizi program ni kama chinook iliyoweza kuzimeza kopi zote za kushinda na kutoa sare. HAIFUNGIKI !! Mabingwa wa drafti duniani waliocheza nayo wameshindwa, achana na hizo games / apps za kwenye simu, hazifikii hata theluthi na ndio maana watu wanashinda.

Kwa mtu anaecheza mtandaoni anaweza kuzitumia program kama hizo kujimwambafai, upande moja anakuwa na laptop yenye hiyo program upande wa pili ndio anakuwa na simu anayochezea draft mtandaoni.

Mpinzani akisukuma kete, nae anaigiliza hio move anaiweka kwenye program ya computer, computer ikicheza yeye anaigilizia anacheza hivyo hivyo kwenye simu yake mtandaoni,

Nimestuka sana pale imefikia hatua huyo mkulima hataki kajiamini kiasi kuviomba vikundi vya draft viwe vinahangia kwa mpigo wawe wanaunganisha vichwa, yawezekana ni mtaalam ila kwenye hili ndipo nilipomtilia shaka huenda ana kichwa kama computer ama anatumia program ya computer.

Wanaocheza drafti yawezekana wanachojua zaidi ni drafti ila wasisahau kwamba teknolojua imekuwa kubwa sana, wawe makini! Wao wanaweza kudhani kwa kuwa anaecheza ni mtu basi wanamwamini kumbe mtu wanaecheza nae anaigilizia kwenye computer.

Nasikia kuna sponsor analipa pesa. Awe makini.
 
Niwakumbushe tu kwamba mchezo wa draft uliweza kuwa solved kwa asilimia 100 mwaka 2007, moves bilioni 500 zinazoweza kuchezwa kwenye draft zimo ndani ya proram za computer kama chinook, hata uende hapo kariakoo huwezi kumkuta mtu aliekariri moves zote
 
Acha ubishi tafadhali, Chinook kamshinda bingwa wa drafti duniani tangu 1993 na mpaka sasa hakuna bingwa wa dunia aliewahi kushinda.

Drafti imebaki kuwa mchezo wa binadamu sio wa kupambanisha na computer, Ni sawa na mchezo wa mbio hatuwezi kuwaweka paka washindane na binadamu.

Wewe ni mbishi wa asili.

Beba hiyo computer yako uende nayo hapo college.
 
Back
Top Bottom