Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kuna wakati kulikuwa na ubishi nani mkali kati ya dogo Sisko(jini) na Ronaldo (mwanasayansi) kiukweli kwa kipindi kile angalau angalau angefurukuta ila alikuwa kila akiwekewa dau acheze naye anakimbia au akijua kwenye mashindano Sisko yupo jamaa hashiriki hayo mashindano.
Sasa bwana jamaa hapa kati alisafiri ughaibuni kidogo ila tangu arudi hana maajabu kabisa.
Na kwa kuligundua hilo jamaa aliomba acheze mechi kadhaa kabla hajamvaa Sisko.
Ameomba akutane na mabingwa wa wote kuanzia Nduli ndulima (Ndimu mkata shombo), Amani Siri, Ally white , Issa mamba , Amani siri,Noel Namaloe, dogo shuku na finally ndipo acheze na Sisko.
Lakini sasa kuanza na kuanza amewapiga watu kadhaa lakini kaanza kuingia doa baada ya kufungwa na dogo Paulo 3-2, juzi kacheza na Ally white ameshinda 4-3 , kesho atacheza na Simba Dom.
Possibility ya kutoboa naiona ndogo au labda tuseme anajaribu kuficha silaha zake zisigundulike kiwepesi.
Sisko kwa sasa hashikiki hata kidogo, hata wacheze wiki nzima hatoboi na kwanza kwa Sisko mbali hata kwa fundi dogo Shuku sidhani kama atatoboa.