Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yakujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere Bridge Kigamboni inarudiwa tena hii ni season ya pili kama ulimisi mwaka jana usipange kukosa ni kesho June 2 mwenye more info atupie hapa sijajua muda ni kwanzia saa ngapi gari zote za mbio tuned vs stock zitakuwepo.